Recent content by Mzee Dogo

  1. Mzee Dogo

    JamiiForums Tanzania Leo nimeyakanyaga. Nimevamia hotel isiyo ya kiwango changu

    Sheria muhimu ya kukumbuka kama huna uhakika na kipato chako, usile msosi hotel hujui bei zake, usilale chumba hotel hujui bei yake wala usinywe bar kabla hujajua bei zao.. Unaweza kutwa na fedheha hujawahi dhani itakukuta
  2. Mzee Dogo

    JamiiForums Tanzania DC Handeni apiga marufuku wanandoa kusoma meseji za wenzi wao

    Kapigwa chini aisee
  3. Mzee Dogo

    JamiiForums Tanzania Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

    Boss ukiipata niambie nami niagize, nina two years naitafute bila mafanikio
  4. Mzee Dogo

    JamiiForums Tanzania Nyama ya ulimi yamuondoa mwali kwenye mahusiano

    Kitu cha kwanza mwana anatakiwa aelewe ni kuwa demu hakumpenda toka mwanzo, she just loved what the guy was providing, amwache aende wala asiwaze mambo ya ufundi kitandani wala kumhurumia atakuja kutendwa aumizwe zaidi ya hapo
  5. Mzee Dogo

    JamiiForums Tanzania Tulikubaliana tuwajengee wazazi, ndugu zangu wameniachia ujenzi peke yangu

    Kaka we endelea tu umalizie, hivi vitu vina baraka utakuja tuambia huko mbeleni, acha tu kunung'unika. Ilinikuta hii kitu kipindi fulani tulikubaliana Ila utekelezaji ulipoanza nikajikuta peke yangu, nilikomaa ikaisha leo wakienda home wana pa kufikia, mi mambo yanaenda fresh kabisa
  6. Mzee Dogo

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Mke kamalizia kulipa gharama ya kiwanja ambacho mume wake alikuwa anamnunulia mchepuko

    Kiwanja mliandika jina la nani? Tuanzie kwanza kaka
  7. Mzee Dogo

    JamiiForums Tanzania Kuna mdada ni mzuri sana, ila najishangaa sana kwanini sivutiwi nae kimapenzi

    Bro trust your instinct; it knows more than what you see. Usijiforce ukajiingiza kwenye matatizo bure..
  8. Mzee Dogo

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna nini kwenye honeymoon?

    Familia za kichovu hakunaga honey moon, ukute harusi umeandaa mwenyewe, asubuhi wazee wanataka kusafirishwa ndugu wa mke uwape mafuta warudi kwao, harusi imeisha kuna deni la mc sijui mpiga picha, aki hio ni kulala nje ya geto tu yaani. Watoto wa kushua ndo wanakuaga na hio kitu
  9. Mzee Dogo

    JamiiForums Tanzania Binti wa kizigua anataka kunipeleka kwao. Naombeni ushauri wa haraka

    Less than a week unaenda kwao? Karibu Tanga wenzio tukipata nauli tumekula zawadi na tukipata zawadi nauli hakuna..
  10. Mzee Dogo

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Miaka 18 iliyopita niliingia kwenye uhusiano na ‘Bi Mdogo’ na kuzaa naye watoto 2

    Mzee wangu nadhani kwa maelezo yako hofu yako kubwa ni what if bi mkubwa akijua; hili ndo lakuua ndani kwa ndani pasi kujua. Pole sana aisee Ushauri wangu; 1. Wote tunakosea huku duniani, so nenda kwa bi mkubwa kaombe msamaha na funguka kila kitu itamuuma sana but she will finallyunderstand (...
  11. Mzee Dogo

    JamiiForums Tanzania Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

    Natumia hii kitu for years na haijawahi niangusha popote..
  12. Mzee Dogo

    JamiiForums Tanzania Nimerudi home nimemkuta wife anacheza mziki akiwa utupu

    Sometimes akivua nguo uwe unamsifia maungo yake; if you don't be sure someone will one day..
  13. Mzee Dogo

    JamiiForums Tanzania Hivi nani mwingine anakereka na hili swali toka kwa wife?

    She just want to know ur taste of food for a day; there is nothing wrong about..
  14. Mzee Dogo

    JamiiForums Tanzania Nimemfumania mpenzi wangu akiwa na mama yangu mdogo

    Ukisema mkuu wa mkoa alikuwa sahihi kusema wanaume ni ndugu zake shetani unakosea, kwani mama ako alibakwa? Siku nyingine sema mmeo na mama ako mdogo ni ndugu zake shetani; hapo utakuwa sahihi
  15. Mzee Dogo

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Legendary.. Sent from my Nokia 5.1 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom