Hivi kuna nini kwenye honeymoon?

Honeymoon ni Kufahamiana vizuri, kufanya evaluation ya harusi yenu iĺikuaje mlienjoy nini zaidi, kupanga maisha what's next sasa maana sherehe ishaisha na mmepewa cheti kabla ya mitihani. Na last important thing ni mikito tu mkiamka mnaamka na morning glory ya nguvu, mkipata break fast mnaendelea na mikito, after lunch mikito, after dinner sasa ni mikito mnaunganisha hadi asubuhi morning glory tena na kuendelea yaani mnafidia vile vya wizi wizi vyote mlivokua mnavifanya maana mko free sasa hadi maji yaitwe mma na kufuke moshi na mkirudi home bibie anahesabu siku tu za kwenda maternity leave ya twins

Ila vacation ni ile tu mnatoka kwenda kutalii somewhere mfano baada ya harusi huko mko na familia ama mtu na babe wake tu, mikito itakuwepo pia ila ya honey moon ndiyo inakua imepaniwa zaidi. Understood?Do i need to clarify more?
Familia za kichovu hakunaga honey moon, ukute harusi umeandaa mwenyewe, asubuhi wazee wanataka kusafirishwa ndugu wa mke uwape mafuta warudi kwao, harusi imeisha kuna deni la mc sijui mpiga picha, aki hio ni kulala nje ya geto tu yaani.

Watoto wa kushua ndo wanakuaga na hio kitu
 
Hivi honeymoon inakuwaga tofauti na vacation za kawaida ambazo wapendanao wanaendaga? Au haina tofauti zote sawa?
Kitu cha kushangaza watu humu wanaseam eti kufahamiana mimi nasema kama wewe unategemea kumfahamu mwenzio siku hizo za honey moon basi utakua umepotea kwangu mimi ni kama mapumziko tuu amabayo watu waliofunga ndoa wanakuwa nayo ili wafanye ngono na ngono sio mpya pia mmeshafanya fanya ngono mara kibao nothing new
 
Siku hizi kuna pastmoon, firemoon kama zile za kuchoma nyumba za wapenzi wenu.
Hii moon sio ya asali sasa
 
Honeymoon ni Kufahamiana vizuri, kufanya evaluation ya harusi yenu iĺikuaje mlienjoy nini zaidi, kupanga maisha what's next sasa maana sherehe ishaisha na mmepewa cheti kabla ya mitihani. Na last important thing ni mikito tu mkiamka mnaamka na morning glory ya nguvu, mkipata break fast mnaendelea na mikito, after lunch mikito, after dinner sasa ni mikito mnaunganisha hadi asubuhi morning glory tena na kuendelea yaani mnafidia vile vya wizi wizi vyote mlivokua mnavifanya maana mko free sasa😜 hadi maji yaitwe mma na kufuke moshi na mkirudi home bibie anahesabu siku tu za kwenda maternity leave ya twins😂

Ila vacation ni ile tu mnatoka kwenda kutalii somewhere mfano baada ya harusi huko mko na familia ama mtu na babe wake tu, mikito itakuwepo pia ila ya honey moon ndiyo inakua imepaniwa zaidi. Understood?Do i need to clarify more?
Hahahaha...
Nmependa hiyo "Mikito"
 
Honeymoon ni ule uhuru unaotambuliwa wa kuunganisha vikojoleo hasa kama hamjawahi kukutana kimaumbile jambo ambalo ni ngumu kwa karne hizi

Vacation ni mtoko na kwenye mtoko sidhani kama kunakuwa na zile amshaamsha za kimahaba since that ni kama sehemu ya utalii fulani hivi imagine watu wako kwenye ndoa zaidi ya miaka kumi
 
Honeymoon ni Kufahamiana vizuri, kufanya evaluation ya harusi yenu iĺikuaje mlienjoy nini zaidi, kupanga maisha what's next sasa maana sherehe ishaisha na mmepewa cheti kabla ya mitihani. Na last important thing ni mikito tu mkiamka mnaamka na morning glory ya nguvu, mkipata break fast mnaendelea na mikito, after lunch mikito, after dinner sasa ni mikito mnaunganisha hadi asubuhi morning glory tena na kuendelea yaani mnafidia vile vya wizi wizi vyote mlivokua mnavifanya maana mko free sasa hadi maji yaitwe mma na kufuke moshi na mkirudi home bibie anahesabu siku tu za kwenda maternity leave ya twins

Ila vacation ni ile tu mnatoka kwenda kutalii somewhere mfano baada ya harusi huko mko na familia ama mtu na babe wake tu, mikito itakuwepo pia ila ya honey moon ndiyo inakua imepaniwa zaidi. Understood?Do i need to clarify more?
Somo nimelielewa eti mikito
 
Honeymoon ni Kufahamiana vizuri, kufanya evaluation ya harusi yenu iĺikuaje mlienjoy nini zaidi, kupanga maisha what's next sasa maana sherehe ishaisha na mmepewa cheti kabla ya mitihani. Na last important thing ni mikito tu mkiamka mnaamka na morning glory ya nguvu, mkipata break fast mnaendelea na mikito, after lunch mikito, after dinner sasa ni mikito mnaunganisha hadi asubuhi morning glory tena na kuendelea yaani mnafidia vile vya wizi wizi vyote mlivokua mnavifanya maana mko free sasa
 
Honeymoon ni Kufahamiana vizuri, kufanya evaluation ya harusi yenu iĺikuaje mlienjoy nini zaidi, kupanga maisha what's next sasa maana sherehe ishaisha na mmepewa cheti kabla ya mitihani. Na last important thing ni mikito tu mkiamka mnaamka na morning glory ya nguvu, mkipata break fast mnaendelea na mikito, after lunch mikito, after dinner sasa ni mikito mnaunganisha hadi asubuhi morning glory tena na kuendelea yaani mnafidia vile vya wizi wizi vyote mlivokua mnavifanya maana mko free sasa hadi maji yaitwe mma na kufuke moshi na mkirudi home bibie anahesabu siku tu za kwenda maternity leave ya twins

Ila vacation ni ile tu mnatoka kwenda kutalii somewhere mfano baada ya harusi huko mko na familia ama mtu na babe wake tu, mikito itakuwepo pia ila ya honey moon ndiyo inakua imepaniwa zaidi. Understood?Do i need to clarify more?
Ndyooo bado hujaelezea tofaut ya style znazotumika kweny vacation na kweny honeymoon. Yaan inshort maliza kila kitu
 
Back
Top Bottom