Recent content by Mzazi567

  1. M

    Ushauri kwa mabinti

    Wewe navyokuona tunaweza tukazungumza jambo LA kujenga. Kwanza we kabila gan
  2. M

    Baada ya Kikwete kumkaribisha Lowassa, Bashe amwambia yeye ndiye alisababisha aondoke CCM

    Bashe angekuwa mwana Chadema na kumtamkia hayo maneno mbowe ungeskia Msaliti huyo, keshanunuliwa. Wanasahau zitto alivyokuwa na msimamo Ila aliishia kuitwa kibaraka wa ccm Kiukweli bashe anastahili kupewa onyo, ama karipio Kali n.k Sent using Jamii Forums mobile app
  3. M

    Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

    Povu luksa Sent using Jamii Forums mobile app
  4. M

    Mapigo yanaendelea kuitafuna CCM, wanachama halisi wanaisha wanabaki mashabiki tu

    Ndugu zangu wana JF naandika andiko hili kukanusha upotoshwaji Mkubwa unaofanywa na huyu #britanicca kwa kudai ccm inazidi kupoteza watu muhimu ngoja nimweleze huyu kibaraka wa CDM anayetaka kujivika kivuli cha CCM ili kuwatoa kwenye mstari watu wanaounga mkono juhudi za Mwenyekiti wa ccm Taifa...
  5. M

    Niulize swali lolote kuhusu magonjwa ya zinaa

    Nahisi itakuwa uume umejaa kutu kwa kutosex muda mrefu Sent using Jamii Forums mobile app
  6. M

    Magufuli na CCM yako Must Go

    Unataka ayoke kwa kosa LA 1. Kutoa Elimu bure kuanzia Shule ya msingi mpaka kidato cha NNE? 2. Kujenga reli ya kati kwa Kiwango cha standard gauge ili kurahisisha usafiri kwa watanzania? 3. Kujenga kituo cha kufua umeme stiegler's gorge ili kuwa na umeme wa uwakika 4. Kutoa vitambulisho kwa...
  7. M

    Wana CHADEMA ni wakati wa kumshukuru Mungu kwa neema hii

    Ndugu zangu wanachadema kila jambo linalotokea linakusudio la Mungu, lakini kwakuwa sisi wanadamu dhambi zetu zimetutenga na uso wa Mungu hata hushindwa kuziona ishara za Mungu kwetu wanadamu zenye kutuletea mafanikio ama Neema. Binafsi nimewaza sana kwa hili lililopo mbele la Mh. Mbowe kuwekwa...
  8. M

    Mbowe na Matiko warejeshwa gerezani baada ya Mahakama ya Rufaa kusema itatoa uamuzi wa rufani iliyokatwa na DPP

    Si kila jambo twapaswa kulaumu mengine hutokea ili kusudio LA Mungu litimie, sasa ni wakati wa wanachadema kumtoa nkurunzinza kwenye uenyekiti Chadema Taifa. Msipo tumia opportunity hii akibe released hamtomtoa tena na mtabaki mnalalamika wakati hii ndo fulsa pekee kwenu kuwa na demokrasia ya...
  9. M

    Acacia Yaikana Barrick Mchana Kweupe!. Yatoa Press Release na Kumruka Barrick Kuwa Haijui Chochote Kuhusu Makubaliano Yoyote na Tanzania

    [emoji1241]MAKALA Na Mzazi HEKO NYINGINE YA RAIS MAGUFULI, WALIOZUSHA HATUTALIPWA NA BARRICK LEO WAMEUMBUKA. Jana siku ya Jumatano tarehe 20/02/2019 Mzalendo namba moja wa nchi hii Mhe Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amekutana na kufanya mazungumzo na Afisa...
  10. M

    Musukuma: Lazima Tundu Lissu afukuzwe Bungeni

    Asiwe na wasiwasi tunaanza na swala moja na kuja kwenye lingine, tumeanza na mshahara wake saizi kaanza kutembeza bakuli, kisha tutafata hilo LA kufukuzwa ubunge mwisho kabisa akifika tu akaripot kati ya keko, segerea kwa kosa LA uhaini nae akitoka huko atafanya siasa safi za kipinzani...
  11. M

    Mbowe na Matiko warejeshwa gerezani baada ya Mahakama ya Rufaa kusema itatoa uamuzi wa rufani iliyokatwa na DPP

    Hili swali kawaulize Wazazi wake Aqwilina ndo utaona kama ulistahili kuliuliza ama nimiemko inakuongoza Sent using Jamii Forums mobile app
  12. M

    Ukweli juu ya waliohudhuria Mkutano wa Lissu USA

    Sasa hivi ameanza kuomba wamsaidie ghalama za kuishi huko aliko Sent using Jamii Forums mobile app
  13. M

    Mnaopanga kumchangia Lissu ni vyema hiyo michango mkailekeza huko jimboni kwa alikowatekeleza na matatizo lukuki!

    Hujui kama keshaanza kuwa omba omba huko america? Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom