Wana CHADEMA ni wakati wa kumshukuru Mungu kwa neema hii

Mzazi567

Member
Feb 4, 2019
23
45
Ndugu zangu wanachadema kila jambo linalotokea linakusudio la Mungu, lakini kwakuwa sisi wanadamu dhambi zetu zimetutenga na uso wa Mungu hata hushindwa kuziona ishara za Mungu kwetu wanadamu zenye kutuletea mafanikio ama Neema.

Binafsi nimewaza sana kwa hili lililopo mbele la Mh. Mbowe kuwekwa lock up bila dhamana nikahisi pengine ni uonevu ama hila chafu za kikundi fulani kama tunavyoaminishwa na wasaidizi wake mbowe.

Nilipokabidhi fikra zangu rohoni kunifunulia, ndipo nikagundua pengine ni kusudio la Mungu Mtu huyu awekwe lock up na Chadema tufanye uchaguzi huru na kupata viongozi wapya ambao wataleta siasa safi zenye lengo la kuliletea maendeleo Taifa letu mama Tanzania.

Baada ya kuwaza hivyo na nikichukulia kila kipindi cha uchaguzi wa chama huyu Mtu anashinda kwa kubadili vipengere ambavyo vitamlinda yeye na genge lake, ndo nikaamua nishare nanyi ili kuona niwangapi ama mnawaza au kufunuliwa kama Mimi.

Pando upandalo Leo ndilo utakalovuna Kesho. Naombeni mawazo yenu wanamemba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pythagoras

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
12,907
2,000

hopeless.
 
Kalamu1

JF-Expert Member
Jul 7, 2018
8,163
2,000
Nilipokabidhi fikra zangu rohoni kunifunulia, ndipo nikagundua pengine ni kusudio la Mungu

Unahakika ulikabidhi hizo fikra rohoni?
Ngoja nikusaidie kidogo kukudokeza: hizo fikra ungezikabidhi rohoni, zingekuonyesha historia ya mapambano aliyoyapigana huyo Mbowe na kuwezesha chama chake kuendelea kuwepo hadi sasa!
Haya wewe huyatambui?
 
SAGAI GALGANO

JF-Expert Member
Nov 13, 2009
26,136
2,000
Ndugu zangu wanachadema kila jambo linalotokea linakusudio la Mungu, lakini kwakuwa sisi wanadamu dhambi zetu zimetutenga na uso wa Mungu hata hushindwa kuziona ishara za Mungu kwetu wanadamu zenye kutuletea mafanikio ama Neema.

Binafsi nimewaza sana kwa hili lililopo mbele la Mh. Mbowe kuwekwa lock up bila dhamana nikahisi pengine ni uonevu ama hila chafu za kikundi fulani kama tunavyoaminishwa na wasaidizi wake mbowe.

Nilipokabidhi fikra zangu rohoni kunifunulia, ndipo nikagundua pengine ni kusudio la Mungu Mtu huyu awekwe lock up na Chadema tufanye uchaguzi huru na kupata viongozi wapya ambao wataleta siasa safi zenye lengo la kuliletea maendeleo Taifa letu mama Tanzania.

Baada ya kuwaza hivyo na nikichukulia kila kipindi cha uchaguzi wa chama huyu Mtu anashinda kwa kubadili vipengere ambavyo vitamlinda yeye na genge lake, ndo nikaamua nishare nanyi ili kuona niwangapi ama mnawaza au kufunuliwa kama Mimi.

Pando upandalo Leo ndilo utakalovuna Kesho. Naombeni mawazo yenu wanamemba.

Sent using Jamii Forums mobile app
Usimhusishe Mungu na mambo yenu ya kishetani ya hapo Lumumba. Usilitaje bure jina la Bwana Mungu wako,laana iwe juu yako na woooote waliokutuma kulitumia jina la Mungu kwa malengo ya CCM.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mechard Rwizile

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
1,563
2,000
Ndugu zangu wanachadema kila jambo linalotokea linakusudio la Mungu, lakini kwakuwa sisi wanadamu dhambi zetu zimetutenga na uso wa Mungu hata hushindwa kuziona ishara za Mungu kwetu wanadamu zenye kutuletea mafanikio ama Neema.

Binafsi nimewaza sana kwa hili lililopo mbele la Mh. Mbowe kuwekwa lock up bila dhamana nikahisi pengine ni uonevu ama hila chafu za kikundi fulani kama tunavyoaminishwa na wasaidizi wake mbowe.

Nilipokabidhi fikra zangu rohoni kunifunulia, ndipo nikagundua pengine ni kusudio la Mungu Mtu huyu awekwe lock up na Chadema tufanye uchaguzi huru na kupata viongozi wapya ambao wataleta siasa safi zenye lengo la kuliletea maendeleo Taifa letu mama Tanzania.

Baada ya kuwaza hivyo na nikichukulia kila kipindi cha uchaguzi wa chama huyu Mtu anashinda kwa kubadili vipengere ambavyo vitamlinda yeye na genge lake, ndo nikaamua nishare nanyi ili kuona niwangapi ama mnawaza au kufunuliwa kama Mimi.

Pando upandalo Leo ndilo utakalovuna Kesho. Naombeni mawazo yenu wanamemba.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe una roho ya kichawi, Mhe. Mbowe sio kero kwa Chadema, sio adui wa maendeleo ya chadema, yeye ni chachu ya uimara wa chama chetu. Haiwezekani ukamtakia mabaya mtu ili upate manufaa ya kisiasa. Ni sababu hiyo tu nikakuita mchawi, vinginevyo hunijui sikujui.
 
Tukundane

JF-Expert Member
Apr 17, 2012
10,861
2,000
Huyu atakuwa ni Mungu wa Lumumba anayefanya kazi ya kuwapiga risasi wapinzani na kuwabambikiza kesi wapinzani.
 
mkuuwakaya

JF-Expert Member
Mar 18, 2013
871
1,000
Ndugu zangu wanachadema kila jambo linalotokea linakusudio la Mungu, lakini kwakuwa sisi wanadamu dhambi zetu zimetutenga na uso wa Mungu hata hushindwa kuziona ishara za Mungu kwetu wanadamu zenye kutuletea mafanikio ama Neema.

Binafsi nimewaza sana kwa hili lililopo mbele la Mh. Mbowe kuwekwa lock up bila dhamana nikahisi pengine ni uonevu ama hila chafu za kikundi fulani kama tunavyoaminishwa na wasaidizi wake mbowe.

Nilipokabidhi fikra zangu rohoni kunifunulia, ndipo nikagundua pengine ni kusudio la Mungu Mtu huyu awekwe lock up na Chadema tufanye uchaguzi huru na kupata viongozi wapya ambao wataleta siasa safi zenye lengo la kuliletea maendeleo Taifa letu mama Tanzania.

Baada ya kuwaza hivyo na nikichukulia kila kipindi cha uchaguzi wa chama huyu Mtu anashinda kwa kubadili vipengere ambavyo vitamlinda yeye na genge lake, ndo nikaamua nishare nanyi ili kuona niwangapi ama mnawaza au kufunuliwa kama Mimi.

Pando upandalo Leo ndilo utakalovuna Kesho. Naombeni mawazo yenu wanamemba.

Sent using Jamii Forums mobile app
Korosho zimeanza kuota

1550772595919.png
 
jaranono

JF-Expert Member
Jun 24, 2015
1,655

wewe ni wa hovyo kutokea tangu usiku wa kuamkia leo!!
 
babukijana

JF-Expert Member
Jul 21, 2009
7,140
2,000
Mbowe mnayemuona nabii nyumbu nyie ni mkwe wa E.Mtei muasisi wa Chandema.
Ruzuku yoote mzee ndio mpiga mahesabu kule kijijini Rombo itumikeje.
Sa ingine mnaumiza kichwa hela inaenda wp.
Mbowe ana fungu lake tu ila lazima awakilishe mzigo kwa Mkwe.
Nyie nyumbu andamaneni mpigwe shaba za matako mwenzenu akuze mtaji na upendo kwa wakwe.
Kalaghabaho
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom