Mbowe na Matiko warejeshwa gerezani baada ya Mahakama ya Rufaa kusema itatoa uamuzi wa rufani iliyokatwa na DPP

MWAMBIENI TUNDU LISU AACHE KUZUNGUKA DUNIANI MKULU ANA HASIRA NA NYIE NA WATATOKA AKIRUDI. TUNANUNUA MADREAM LINNER YEYE ANAWATANGAZIA WATU WASIJE.
Maskini ma dream liner yanasukumwa pale airport kwa mikono badala ya kuruka hivi kweli unanua madenge wakati business plan zero
 
Kesho utasikia Tundu Lisu anaongea Havard, huu upinzani mi mashaka nao nahisi kama Lisu anatumika ili watu wasahau kesi yaa Mbowe ili aendelee kusota rumande huku wanachama wakiwa bize na Lisu ni mawazo yangu lakini tu
 
  • Thanks
Reactions: UCD
Kesho utasikia Tundu Lisu anaongea Havard, huu upinzani mi mashaka nao nahisi kama Lisu anatumika ili watu wasahau kesi yaa Mbowe ili aendelee kusota rumande huku wanachama wakiwa bize na Lisu ni mawazo yangu lakini tu
Mbowe hata akina mwaka ni sehemu ya kuwa kiongozi harafu tune magufuli kama kumuweka mbowe magerezani ataiweka nchi kuwa ulimwengu wa kwanza kiuchumi
 
ndicho wanachostaili Mungu ameamua kuwaumbua kutumia damu ya watanzania kujitafutia umaarufu kisiasa haikuwa sawa rejea Siri ya machafuko ya Arusha,rejea ugaidi wa Lwakatare utagundua ujinga mwingi sana Tulichezewa,wacha wanyooshwe.
 
Mpaka siku atakapoelewa ukiitwa na mahakama au polisi itikia wito na siyo kujifanya uko safarini au mgonjwa...
 
Kwa mtu aliyekiuka taratibu za bond maagizo ya toka juu yanahusikaje? Tuache kupiga lamli na kushinikiza maamuzi tunayotaka.
Ila kwa pamoja tuombe the best matokeo kwa akina Mbowe kwakuwa no one anastahili kufurahia mwingine awe maabusu.
Kuwafutia dhamana was not the only remedy/option available to Mashauri had it not been for the amri toka juu! There surities were around on that particular day; in good faith they could have saved the day. But due to ill intention , that was not taken into consideration
 
Kama wanawakamata, inabidi muongezeke ili wakose mahali pa kuwaweka.

Toka Lissu aponee kifo kwa risasi 16, there should not be any excuse for supporters to play their part.
Aisee Mushi mbona unajitoa kwenye kundi.
Unatuma wenzio tu wakajae kwenye jela.
Vipi wewe?
 
Back
Top Bottom