Recent content by MZAWATA

  1. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kuangalia Kama Gari/Wewe Unadaiwa na Traffic Polisi

    Polisi wanafanya kazi ngumu sana tuwape heshima yao tu japo wapo wengine wanalidhalilisha jeshi kwa kufanya kazi nje ya utaratibu japo ni wachache sana
  2. M

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Tanga eneo la Kange Kasera kwanini hamtaki kutuwekea nguzo za umeme eneo la chini ya msikiti ile hali tupo wateja xaidi ya 40 na ambao tumeshafanya wiring na kuleta barua ofisi za Meneja mkoa zaid ya mara tatu tangu mwaka jana mwezi wa pili? Sababu za kibajet mnazotupa haturidhiki nazo kwa kuwa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Button za gari....

    Nina gari yangu Carina Si..pale chini kwenye gear liva kuna button ziko pale zimeandikwa PWR na MANU naomba mnisaidie kujua matumizi yake Lakin pia kuna kabatan kapo kwenye gear liva ukikaminya kanatoa ujumbe wa O/D OFF NAOMBA MNISAIDIE KUJUA MATUMIZI YA HIZO BUTTON
  4. M

    JamiiForums Tanzania Gharama za kulipia gari bandarini na TRA

    huu ushuru ni shida sana sana na inakuwaje kama nikipitisha Mombasa?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Soko la mafuta ya alizeti

    u are not serious uliona wap biashara ambayo haina address weka mawasiliano binafs nahitaj hayo mafuta but cjui bei yako n uwezo wako wa kuzalisha 0719213427 nichek nipo Tanga
  6. M

    JamiiForums Tanzania Acheni Ushamba, Hakuna gari za kike wala za kiume

    haiwezekan mwanaume jipande la mtu unakaa ndani ya ist au vitz bwana. unakuta mwanaume limeshiba c mchezo linapanda ndani ya vitz mpaka inabonyea upande mmoja. hahahahahahaha
  7. M

    JamiiForums Tanzania Acheni Ushamba, Hakuna gari za kike wala za kiume

    kiuhalisia hakuna Gari ya kike lakini kimuonekano au kimtazamo kigari kama vitz anapendeza akiendesha mwanamke tena awe na kamwili kadogo. pia mwanamke hapendez kabisa kuendesha land cruiser . vitz, spacio ractis Nadia zinawapendeza sana wanawake lakini sio wanaume
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Carina TI

    diplomatic nichek whatzzup
  9. M

    JamiiForums Tanzania Carina na Cresta GX100 zinauzwa

    kaka mugusi naomba nipe namba yako nina shida na Carina Ti 0719213427 ndo yangu
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Carina Ti

    saambovu una huo mzigo uniuzie? au na wewe unatafuta
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Carina Ti

    Nahitaji Carina Ti ambayo ipo katika hali nzuri nina M 6 0719213427
  12. M

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kuhusu Carina SI

    asanteni sana wadau kwa michango yenu ya mawazo
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Carina TI

    nahitaji Carina ti na Nina m 6 kama unayo naomba tuwasiliane 0719213427, nipo Tanga
  14. M

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kuhusu Carina SI

    Mimi ni mgeni kidogo katika masuala ya magari. Nimepata Gari kwa mtu anataka kuniuzia Carina SI. Naomba mwenye experience na Gari hii aniambie huwa yanatumia mafuta kwa kiasi gani kwa kilometer na ni mambo gani mengine ya msingi napaswa kuyajua before sijampa hela.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    voda ni wezi sana na ukiweka hela pesa inapungua taratibu mpaka inaisha bila hata kipiga cm au kutuma msg
Back
Top Bottom