Nahitaji Carina Ti

sidhani kama mtapata hiyo gari kwa hela hiyo unless iwe imechoka sana angalau muwe na mil 7 pengine
 
Ipo CARINA Ti 1490cc bei 6.5m ipo Dar es Salaam, Bima (Comprehensive), Valid Road Licence, Service 5,000kms.(NIMEAMBATANISHA na PICHA hapa, kwa picha zaidi naweza kukutumia kwa Whatsapp). Kwa mawasiliano 0712212299
 
educator2025 upo sehemu gani kwa hapa dar? ninaihitaji hiyo gari. Japo nina 6m plz
Hiyo Carina Ti ya 6.5M usiiache kwani ni BUN kwa hiyo ni mpya kabisa ikiwa na Comprehensive na Motor vehicle
uzuri wake cc1490 (sawa na Corolla) ni nzuri sana kwa mafuta
nina wasiwasi tu na kilometa haziwezi kuwa 5,000km labda kwenye 50,000km kwani service yake ni @3,000km kwa BUN ni vigumu hata km ni gari la mhindi au mwanamke
Mwombe educator2025 akuongezee picha za dashbody km ni kweli kimbia kabla hatujakuzunguka
 
Last edited by a moderator:
5,000 kms nilimaanisha gari huwa nafanya service ya 5,000kms kwa sasa nimefanya service October, 2014 ukinunua utatembelea kama 4850kms ndo ufanye service nyingine. Picha zaidi ukihitaji nakutumia kwa Whatsapp
 
Kaka CARINA ni chuma kwa mtu mtunzaji, kama mtu anatafuta gari TOYOTA SALOON yenye engine chini ya 1500cc (5A) ni gari ya kutegemea kwa tunaoanza maisha.
 
Back
Top Bottom