Nina tatizo ya hiyo camera yaani picha zake zinatoka na ukungu, tatizo cjui ni nini, hata haioneshi kabisa clear na maukungu tuu mweny ujuzi, msaada tafadhali.
Et n kwel kuhusu ili wadau,naomba uhakika kwa wanaoijua iyo kozi vizuri maana nilichokisikia kua wengi hawaifaham na wanasema unakua mwalimu ........msaada plz
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.