Msaada: Ipi dawa asilia na ya haraka ya kuondoa mipasuko unyayoni?

wakuu mambo vp, naomba msaada kwa anayefahamu dawa ya kuzuia kupasuka kwa miguu ktk unyayo, na nipo kwenye barid irnga pia sifany shughuli inayofanya nikanyage maji. msaada plz.
Kipindi cha baridi watu wengi hupasuka miguu.
Jitahidi kupaka mafuta vaa soksi na viatu vya kudumbukiza kama vile raba.
Itakusaidia na ujitahidi kufanya pedicure angalau maramoja kwa mwezi.
 
Habarini za mchana wapendwa naomba ushauri ngozi yangu ya miguuni inakakamaa sana nimeshajaribu kutumia baadhi ya lotions lakini naona tatizo liko palepale kwa sasa natumia Bio oil
 
Habarini za mchana wapendwa naomba ushauri ngozi yangu ya miguuni inakakamaa sana nimeshajaribu kutumia baadhi ya lotions lakini naona tatizo liko palepale kwa sasa natumia Bio oil
Karibu oriflame pia tuna bidhaa nzuri pia za miguu zinazolainisha na kuondoa magaga pia
Tuna foot cream ya kulainisha miguu na foot mask
59d217d51314a7c4fbe98c26dcd844d8.jpg
 
Mafuta ya nazi pia ni mazuri. Ukitoka kusafisha miguu unapaka mafuta ya nazi unavaa soksi. Ni vizuri kwa usiku asubuhi unavua. Fanya hivo mara nyingi utaona tofauti.
 
Jamani nasumbuliwa na magaga ,ivi yanatibika jamani maana yanansumbua hadi aibu kutembea ukiwa na openshoes msaada jamani
 
Kabla yakulala sugua miguu pakaa vaseline ya mgando ...wiki moja utaleta mrejesho
 
Tafuta grisi ile ya magari hakikisha kila Siku baada ya kuosha miguu unakausha vzr kisha pakaa eneo lenye tatizo
 
Wana jf, nina rafiki yangu ni miaka zaidi ya 8 sasa ana tatizo la kupasuka miguu chini kwenye kikanyagio (unyayo). Huwa tatizo linapungua au kuongezeka lakini haliishi. Naomba kujua inasababishwa na nini na tiba yake. Ili niweze kumshauri maana yeye hajaichukulia kuwa ugonjwa kivile.
 
Yanaitwa magaga...mi nahisi kama inasababishwa na kutembea peku
 
Pole. Kanunue vidonge vya vitamin E unywe. Una uwezekano ukawa na upungufu wa vitamin E. Pia ivyo vi capsule vya vitamin E, pasua kimoja kimoja upake kwenye mipasuko...

images
 
Back
Top Bottom