Recent content by Mzawa Nation

  1. Mzawa Nation

    Harusini

    Jana nimeenda HARUSINI Nikakuta MILANGO MIWILI Wa kwanza umeandikwa WAZAZI NA MARAFIKI WA BWANA HARUSI Mlango wa pili umeandikwa WAZAZI NA MARAFIKI WA BIBI HARUSINI Mimi nikaingia wa kwanza. Nilivyoingia tu mbele nikakuta milango miwili. Wa kwanza umeandikwa WAZAZI WA PIlI MARAFIKI, nikaingia...
  2. Mzawa Nation

    Sophia Simba ataendelea kuwa mbunge kupitia mahakama. Ya Bashe na vitisho vya kuhoji

    Kwa kuwa na watu kam ww kwel tutaongozwa na Ccm mpk yesu atakaporud
  3. Mzawa Nation

    Audio: Kesi za Matumizi Kinyume na Maumbile zimekuwa nyingi hasa Zanzibar/Pwani

    Uckute ww Jana tu jamaa kafanya yake , Leo unakuja hapa unasema mtu akijarbu tu kutaka unamtoa nduki [emoji1493][emoji1493]
  4. Mzawa Nation

    Lipi jiji zuri kati ya Mbeya na Tanga?

    Hapo kwenye hali ya hewa hapo umepuyanga mkuu Me npo tanga huku full joto Cyo cri kwenye hali ya hewa naibeba sana Mbeya , kiuchumi , kimiundombinu naibeba sana mbeya
  5. Mzawa Nation

    Jinsi ya kufuta na kuondoa Michirizi (Stretch Mark) kwenye ngozi

    Sure hata mm sehem ya bega kwa chini kidogo pande zote kulia na kushoto imenitoka lkn cyo mingi
  6. Mzawa Nation

    Godwin Mwaipongo mpinzani wa Tundu Lissu TLS, alishawahi kugombea kupitia CCM

    Rais wangu kipenzi Magufuli na Waziri Mwakyembe, mnamfahamu mgombea huyu katika picha wa Chama cha Wanasheria ambaye nyinyi mnapigia kampeni kwa kumpinga Tundu Lissu? Mnasema Lissu ni Mwanasiasa na kwamba akigombea ataingiza siasa ndani ya TLS, na huyu GODWIN MWAIPONGO je?
  7. Mzawa Nation

    Naomba msaada juu ya hili

    Mkuu me nataka kujua cna maana ya uchochezi mzee
  8. Mzawa Nation

    Naomba msaada juu ya hili

    Hiv kutafsiri Kiswahili kutoka Kiingereza namba inazidishwa kwa tatu? au Kiingereza kinagawanya namba iliyo kwenye Kiswahil kwa tatu? #road signs #dereva_ajali_zinaepukika #zingatia_alama_za_barabarani
  9. Mzawa Nation

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Wamekizoea ndio mana wakikikosa cha arusha bac lazima waende kwa pusha
  10. Mzawa Nation

    Kinachoendelea huko Pretoria South Africa

    Tayari wanaigeria kadhaa washa uawa na wengine wapo hoi hospitali- ila hakuna mbongo aliye athirika na kinachoendelea huko Pretolia West mpaka sasa-- tarehe 24 na 25 mwezi huu- ndo wamepanga kumchakaza kila aina ya mgeni ilimradi tu akiwa ni mwafrika-
  11. Mzawa Nation

    Kilichonitokea leo kwa muuza karanga

    Ushuz tena mkuu Aya bhna ila mm bado napuyanga kurudisha msimbaz wangu Alaf nmeuza buku Mia mbili tu mpk dk hii Wateja hakuna wanakaz ya kuonja tu Yan mpk zikiisha nitakuwa nmeonjesha kam za buku 6 hvi
  12. Mzawa Nation

    Kilichonitokea leo kwa muuza karanga

    Ili kapu ukiliona ndio utajua jamaa kauza kwa jumla Kapu huwez hata kuwekea vitu labda mkaa
  13. Mzawa Nation

    Kilichonitokea leo kwa muuza karanga

    Za kuchota kaka cyo za kufunga
  14. Mzawa Nation

    Kilichonitokea leo kwa muuza karanga

    Kaka ilo kapu hata jero huuzi
Back
Top Bottom