Naomba msaada juu ya hili

Mzawa Nation

Member
Feb 15, 2017
50
53
Hiv kutafsiri Kiswahili kutoka Kiingereza namba inazidishwa kwa tatu?
au Kiingereza kinagawanya namba iliyo kwenye Kiswahil kwa tatu?

[HASHTAG]#road[/HASHTAG] signs
#dereva_ajali_zinaepukika
#zingatia_alama_za_barabarani
0f081001a7d575247376c40e88efcdbe.jpg
 
..ndio barabara za mkulu hizi...alizopiga nazo kampeni...na kushinda...LOL...
 
Wewe hujaelewaaaa, Round abt kwa kingereza inakua karibu sana ndo maana mita mia. Ukiisemea kwa kiswahili inakua ndefu kama kiswahili kilivyo.

Hapo mzungu anaeendesha atawahi kuikuta kabla ya mswahili.

No Wonder PHD Holder can not speak English......
 
Back
Top Bottom