Recent content by mzamivu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Walioikamata bombadia wasiikubali malipo nusu, pia wanaoidai Tanzania waisake Dreamliner kokote iliko

    Nchi hii ina mapungufu makubwa sana katika masuala ya mikataba Sent using Jamii Forums mobile app
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Uhakiki uliofanywa na NECTA haukugusa taasisi zote za umma

    Ni kweli ma HR wengi hawajui kazi zao na ndiyo hapo itakuja kuwacost
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Uhakiki uliofanywa na NECTA haukugusa taasisi zote za umma

    Hili zoezi limefanyika kwa mapungufu mengi sana. Hofu kwa wafanyakazi ambao hawajahakikiwa ni mishahara yao kuja kuzuiwa siku za usoni ambapo itawapa usumbufu wale wasio na hatia
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Uhakiki uliofanywa na NECTA haukugusa taasisi zote za umma

    VETA bado wako wengi sana. Vyuo vilivyotembelewa na NECTA havizidi 7 kama sikosei, na vipo zaidi ya 25 Tanzania nzima. Kuna kanda 8 pia na ofisi za makao makuu ambazo zote watumishi wake hawajaonekana kwenye ripoti inayoonesha status ya ukaguzi wa vyeti vya taaluma kwa taasisi za umma. Wahanga...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Uhakiki uliofanywa na NECTA haukugusa taasisi zote za umma

    Kule kugumu Jombaa. Mheshimiwa akomae na raia kwanza
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Uhakiki uliofanywa na NECTA haukugusa taasisi zote za umma

    VETA nyingi hazimo kwenye ripoti
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Uhakiki uliofanywa na NECTA haukugusa taasisi zote za umma

    Tena hao wenye mapungufu wakija mtaani wanajidai sana kwamba serikali hawawezi
  8. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Uhakiki uliofanywa na NECTA haukugusa taasisi zote za umma

    Watanzania wanajua nini kilitokea baada ya ripoti ya uhakiki wa vyeti vya taaluma yani kidato cha nne na sita kutolewa ikiwa ni baada ya kusitisha ajira mpya, nyongeza ya mishahara, kupandishwa vyeo na utekelezaji wa miundo mipya ya utumishi. Kwa sasa taasisi nyingi za serikali kama TANESCO...
  9. M

    JamiiForums Tanzania UTAPELI: Kampuni ya D9 (DNINE) ni kina nani? Nani kawapa kibali cha kazi Tanzania?

    Kama serikali inajua lazima idai kodi yake kwa kampuni na wawekezaji wake
  10. M

    JamiiForums Tanzania UTAPELI: Kampuni ya D9 (DNINE) ni kina nani? Nani kawapa kibali cha kazi Tanzania?

    Baadhi ya nchi haziruhusu business kama hizi
  11. M

    JamiiForums Tanzania UTAPELI: Kampuni ya D9 (DNINE) ni kina nani? Nani kawapa kibali cha kazi Tanzania?

    Kwa takribani karibu mwaka mmoja sasa shughuli za kampuni ya D9 zinaendelea kufanyika nchini. Wanachama wanaendelea kushawishi members wapya waendelee kujiunga hata kwa kuwakopesha pesa and of course they get paid every week. Kulipwa tu it doesn't matter je hii kampuni ni halali hapa Tz...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nimepanga kumpa mke wangu nusu ya Mshahara

    Utatuambia ulimkuta mkeo bikra
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ajali yaua 29: Mabasi ya Kampuni moja ya City boy yagongana Singida, ni basi la Dar na Shinyanga

    Michezo ya madereva barabarani ndiyo imesababisha hayo maafa, huwa wana tabia ya kubadilishana upande wanapopishana sasa mmoja wao akakosea mahesabu
  14. M

    JamiiForums Tanzania Wanaume mnaofika kileleni mapema mnakera sana

    Punyeto haina madhara km inafanywa mara chache. Ila wapo ambao nikijitabia yaani ULEVI kiasi kwamba akiona maji na sabuni tu tayari anaenda mnara. Akianza kuchua basi mawazo yote yapo kwenye kupiga bao na akili itajitransform kumaliza mapema. Hivyo na kwenye real game akili na mwili unakuwa...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Wanaume mnaofika kileleni mapema mnakera sana

    Matatizo ya kuwahi sn ni matokeo ya kuendekeza punyeto hasa kipindi cha balehe. Waathirika wengi ni kati ya miaka 18 mpk 29 baada ya hapo linacease. Jijajua huyu mdada hao mabwana zake ni wavulana au wanaume. Hata hivyo physical control pamoja na psychology positive ya dem inaweza kuondoa kbs...
Back
Top Bottom