Recent content by mzalendoalltz

  1. mzalendoalltz

    Watoto wa viongozi wakuu wa nchi walipwe ili kuwatia moyo

    Umesahau koo zao pia zina umuhimu mkubwa maana bila hizo koo wasingekuwepo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  2. mzalendoalltz

    Tuache kulalamikia TISS kwa majukumu yasiowahusu ya kudhibiti ufisadi au kuendesha uchumi wa nchi

    TISS ni idara ya usalama wa nchi sasa kama kuna watu wanahamisha dolla kinyemela wanalinda usalama wa nn? Usalama ni pamoja na uchumi wa nchi, maliasili za nchi, usalama wa watu physically, na wao si kwenda site kutuliza bali ni mashushu wakiona kuna hatari wanatoa tahadhari kwa vyombo vingine...
  3. mzalendoalltz

    Kwanini Tume huru ya Kenya inapata kigugumiz kufungua servers za matokeo ya uchaguzi?

    Waacheni wakenya wako mbali sana. Sis tunaoelekeshwa na misisiemu kama midoli
  4. mzalendoalltz

    Kuna umuhimu wa kuunda chama kipya cha upinzani?

    Kuna watu wana vichwa vigumu sana. Wataelewa kadri siku zinavyosonga mbele econonist
  5. mzalendoalltz

    Kuna umuhimu wa kuunda chama kipya cha upinzani?

    Ukiambiw mkamate kuku anazurura ili umchinje ni dhahiri kuna atakayetumia upnde na mishale ili amlenge mguu aweze kumbasa, kuna atakayekimbizana naye mpaka amdake ili amchinje, lakini kuna atakayetumia punje za mahindi akimrushia ili amnase. Chadema wanatumia method rahisi tu kuhakikisha...
  6. mzalendoalltz

    Malalamiko ya Upendeleo kwa wasimamizi wa Road Reserve Dar es Salaam

    Wananchi wengi wanalalamika hasa suala la upendeleo wa wazi unaoonyeshwa na wasimamizi wa eneo tengwa la barabara yaani (Road reserve) tunaona serikali inafanya jitahada za kuwaondoa wavamizi sawa ila idara hii imekuwa sugu kwa Rushwa maana kuna watu wengi wapo na hawaondolewi na wamekaa miaka...
  7. mzalendoalltz

    LISSU: Sina Ndoto ya kuwa Mwenyekiti CHADEMA

    Sasa kasema hana ndoto ww unasema eti kuwa na ndoto ni dhambi? Nikuambie tena “Lissu kasema hana ndoto ya kiwa mwenyekiti. ‘‘ Mnafiki utamjua tu
  8. mzalendoalltz

    Mgogoro wa Lissu na Mbowe, Mzee Edwin Mtei aingilia kati

    Chadema imetoka mbali sana, hizi ni Pro-ccm agenda za kuivuruga Chadema ambayo imekuwa tishio kwao. Kwanza uliyeleta hii habari haina ukweli hata kidogo na ni ya kitoto sana, kuwa kwanza ndio uandike habari chura ww
  9. mzalendoalltz

    Kwa mara ya kwanza Putin asema yuko tayari kwa mazungumzo ya kumaliza vita

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kweli kazidiwa
  10. mzalendoalltz

    Warusi wajivunia kuangusha drone iliyokua imeanza kushambulia kambini Urusi, wamekufa watatu

    Russia ni kama alivyokuwa Sadam Hussein maneno mengi matendo kidogo
  11. mzalendoalltz

    Feisal Salum(Feitoto) kuendelea kuichezea Yanga

    Hivi mnalalamika nini wanyanyasaji wakubwa nyie, Fei analipwa pungufu mara tano ya Morison? Morison anarukaruka kama chira tu huko uwanjani na bado mijitu inamnang’ania mchezaji eti ng’ong’o ng’ong’o pumbafuuuu zenu hamkuona hayo mda wote mliokuwa mkimuimba? Na je Hi clause ya kuvunja mkataba...
  12. mzalendoalltz

    Hili la Umeme litaing’oa CCM, si kwa mateso haya

    Sis wakazi wa Dar bila umeme ni sawa na kutupwa jehenam ukiwa hai. Yaani kwa sasa hatulali usiku maana kuna joto balaa. Ukiweka kitu kwenye fridge kinaoza maana umeme umekuwa wa mgao na hawa wachumia tumbo hawaongei lolote wao wamejiwekea Jenereta kwa kodi zetu hawaoni taabu. Lakini...
Back
Top Bottom