Recent content by mzalendo91

  1. M

    Wadada wa mjini acheni maigizo mtashindwa kusaidiwa mfe mnajiona

    Kabisa. Ninaona hii michezo yao wameenda kuwaambukiza na wadada wa mikoa ya karibu na Dar au mikoa ile yenye mavyuo
  2. M

    Kwanini wanaume huwa mna kigugumizi mnapompenda mwanamke?

    Ni kwamba unaanza kuchat nae na kwa muda walau hata 1 week then unaomba nae appointment ya dinner usiku akikubali mkatoka unahakikisha walau unajaribu kuweka nae closeness na kuangalia response yake. Mfano wakati wa dinner unaweza kuwa kwenye mazungumzo unajitahidi walau kumgusa mkono wake...
  3. M

    Hii ya Pinda sasa ni Kufuru: Akaunti ya Nyau yafikishwa zaidi ya Billioni 10

    Duh!!! Nimekupata mkuu kumbe Bw. Pinda anataka hawa wakurugenzi kila mwezi wampe tozo lake
  4. M

    Hii ya Pinda sasa ni Kufuru: Akaunti ya Nyau yafikishwa zaidi ya Billioni 10

    Ndugu Ocampo_four nimejaribu kusoma idadi ya hao wakurugenzi na kwa hiyo list tayari washafikia 451. Swali langu ni kutaka kufahamu je katika nchi hii kuna wakurugenzi wangapi wa Halmashauri ili walau wadau tuweze kukadiria kuwa Pinda anaweza kujikusanyia wastani wa jumla ya Tshs ngapi kama...
  5. M

    Hii ya Pinda sasa ni Kufuru: Akaunti ya Nyau yafikishwa zaidi ya Billioni 10

    Ndugu Ocampo_four nimejaribu kusoma idadi ya hao wakurugenzi na kwa hiyo list tayari washafikia 451. Swali langu ni kutaka kufahamu je katika nchi hii kuna wakurugenzi wangapi wa Halmashauri ili walau wadau tuweze kukadiria kuwa Pinda anaweza kujikusanyia wastani wa jumla ya Tshs ngapi kama...
  6. M

    Serikali kupiga marufuku tiba kwa njia ya ramli ni kuvunja Katiba ya nchi

    Katika harakati za kupambana na mauaji ya Albino nchini hatimaye serikali ya Tanzania imeamua kuadhimia kupiga vita wapiga ramli wote nchini
  7. M

    Wazee saa hizo Men's Fashion Watch

    Muonekano wa saa ni mzuri je, vimishale vyote vinafanya kazi hasa hivyo vya tarehe na mwezi? by the way nimeipenda hiyo nyeusi
  8. M

    Kenya hali si shwari: ''Yebei aliwahonga mashahidi ICC''

    Inawezekana serikali ya Kenya inaelewa nini kimefanyika au wao kwa kiasi fulani wanaweza kuwa wahusika wakuu ndio maana baadhi ya mauaji hawachui hathubutu katika kufanya uchunguzi wao
  9. M

    Natafuta mume wa kuishi nae

    Vigezo vya mwanaume umtakaye zaidi ya huo umri uliotaja? Mfano Ninafaa? 1. Kame elimu yangu ni darasa la 2 2. Jobless 3. Nina watoto wa 3 kila mmoja ana mama yake? 4. Sijapima afya yangu? 5
  10. M

    Mtoto wa Jackie Chain atupwa lupango

    Jaycee Chan, the son of kung fu movie star Jackie Chan, was jailed for six months in China on Friday on a drugs charge, the latest celebrity felled by the government's aggressive anti-narcotics campaign. The younger Chan, a 32-year-old actor and singer, was formally charged last month with "the...
  11. M

    Kenya hali si shwari: ''Yebei aliwahonga mashahidi ICC''

    ICC: ''Yebei aliwahonga mashahidi ICC'' Mwandishi wa BBC Emmanuel Igunza alisafiri hadi mjini Eldoret ambako shahidi muhimu wa upande wa mashitaka katika kesi inayomkabili naibu Rais wa Kenya Meschak Yebei aliuawa. Alikutana na familia ya marehemu Yebei. "Singeweza kuutizama...
  12. M

    Kwangu mwanaume sura sio pesa, pesa ni makaratasi tu

    Dah!!! Hili balaa yaani wapumuliwa kisogoni hadi huku wamekuja kujitangaza kabisa... Haya bana wale wapenda tope mboga imejileta yenyewe mshindwe nyie tu kula hicho kisamvu cha kopo kinachotangaza biashara mapema yote hii
  13. M

    Jamani dunia imefika mwisho

    Hivi Masai dada account yako c ndiyo ile ile au ushabadili jina?
  14. M

    Rais aweza kuwa mwizi?

    umenena vyema kabisa
  15. M

    samsung s5 inauzwa

    Eti muuzaji ni kwamba ulitaka kusema unauza cover la Samsung S5 kwa elfu30 au!?
Back
Top Bottom