Roho yangu inauma kila nikumbukapo fao la kujitoa. Hapo ndio naanza kuona dalili ya kutopendwa na mkuu wetu. Walah bora niache kazi. Yaani hela yangu unanipangia muda wa kuichukua halafu nyie mnaipangia matumizi yenu? Siwezi vumilia kama vyama vimeshindwa kututetea basi hatuna budi kujitetea...
Kwann serikali inipangie masharti kwenye hela zangu tena jasho langu? Kwanini? Si wajipangie masharti kwenye hela zake za kodi? Nani ajuaye kama atafika hiyo miaka wanayotaka tutoe hela? Kumpa mtu hela kwa mafungu zitamsadia nini kama sio atanunulia vocha hadi kuisha bila hata kufungua biashara...
Yaani hela ni zangu halafu nipewe mkopo? Walah hizi ni dharau. Sisi tunaofanya kazi za mikataba, mikataba ikiisha tupewe chetu tuwe wajasiriamali maana huku nako kwenye ajira makato yamezidi. Serikali iache kupanga masharti kwenye hela zetu ipange masharti kwenye hela zake. Kwa maisha haya ya...
Haingii akilini serikali inilazimishe kuingia kwenye mfuko wa jamii na pia initungie sheria ya kuchukua hela zangu. Mimi kwa sasa nina mkataba wa miaka 2 na baada ya hapo ninataka nijiajiri. Sasa unaposema nisubiri miaka 55 ndio nichukue hela yangu si ni kunipa tu umaskini? Kama vipi acheni...
Lakin huyu jamaa si aliwatelekeza wenzake jangwani (wakati wa kampeni na uchaguzi) akitarajia wafe kwa njaa (washindwe uchaguzi)? Napata wakati mgumu kumuelewa Profesa. Anaidhalilisha elimu yake aiseee. Nishaanza kutamani nisiwe Profesa kama akili zenyewe ndio hizo
Mmmhh kama wewe ni mwanafunzi wa Masters basi huko Mzumbe kuna shida kubwa.
Unaandikaje dissertation yako wewe? Au ndio na wewe unaandikiwaga pale UDSM. Huo uandishi hata form six hawezi andika;
Muulize JPM hilo swali. Anajua kuwa udsm baba lao hata akakiri hadharani kwamba baada ya kuchunguza amejithibitishia kwamba udsm ni vipanga tu. Pia kuna baadhi ya organization hufanya tafiti na ku-rank vyuo kidunia, bara au hata katika level ya nchi. Last time nimeangalia udsm was the best in...
Dawa ni kupima ngoma tu then baada ya hapo ni nyama kwa nyama. Tena siku hizi kupima ukimwi sio mpka muende hospital, kuna vile vidude vinaitwaje sijui wanavyopimia ukimwi. Unavinunua vya kutosha au kama una rafiki yako daktari unamuomba akupe. Ukipata demu mnapima then mnakula raha. Honestly...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.