bwana utingo jifunze kuwasilisha mada kwa takwimu sahihi na ushahidi wa kutosha..kuna tofauti kubwa kati ya "national park" na "game reserve" serengeti ni national park na hakuna shughuli zozote za uwindaji but waarabu wapo loliondo game reserve na wanaruhusu kuwinda kwenye reserve.ENVIRONMENTAL...
Mgomo chuo kikuu cha dodoma, leo ni waadhiri wote na wanachuo wa college ya education,kuna kamdudu gani tena udom au watasema tena ni influence ya chadema
UDOM ina watu zaidi ya 30,000 so 5000 wakiwa CCM huezi conclude kuwa wana Udom ni wana CCM..Ukitaka kuthibitisha hilo njoo kwenye michakato ya uchaguzi chuoni...wale wote wanaodhaniwa ni vibaraka wa ccm huwa wanaumbuka sana...SIDHANI KAMA UTAHITAJI MWEKEZAJI KUJA KUKUELEKEZA HILI HADI...
NAOMBA USIPOTOSHE UMMA NA UKANUSHE KAULI YAKO KUWA HILO NI TAMKO LA WASOMI MKOA WA DODOMA...we ni kiraka wa CCM usiye na haya mbele ya umma kwani mimi binafsi nipo chuo kikuu cha dodoma na hilo tamko sijalisikia hivyo hilo ni tamko lako binafsi lisilo na msingi wowote mbele ya jukwaa la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.