wanaJF wengi wana-lack objectivity when it comes to UDOM issues.

njoro

Senior Member
Dec 21, 2010
178
8
tangu nilipoanza kufuatilia huu mtandao wa "great thinkers",nimegundua wengi hawaipendi UDOM,hatakama kuna positive moves za kiuanaharakat,nawasilisha
 
si kweli Udom tunaipenda sana ila mlimicbahave siku mlipoanza kuishangilia CCM kwa kujipendekeza na kujitangaza magazetini ninyi mlitakiwa kuwa kimya tu!life ya unafiki mara zote huwa ni mbaya sana si umeona yaliyowakuta juzi mmewashangilia lakini matokeo yake mkuu wa mkoa anawatumia polisi kuwapigeni virungu na kuwavunja viuno!!kwa hiyo Amini kwamba Udom tunaipenda ila bado mna tabia za utoto na unafki!kaeni chini mfikirie na muwe na maisha ya kikubwa sio kuishangilia CCM wakati inawatesa!kuweni kama wafanyakazi kwani hamuoni waliinyima kura CCM na wakakaa kimya!
 
unatakiwa kujua kwamba katika taasisi yoyote kuna vibaraka wa ccm,huwez ukachukulia opinion ya vibaraka wawili/3 ndo ikawa ya UDOM nzima.
 
sasa walipojitokeza hao vibaraka mbona hamkukanusha matamko yao? nyie vibaraka tu...tutaamini hivyo mpaka pale mtakapotoa matamko ya kupinga upuuzi mliokuwa mkiuongea kuisifia ccm
 
wanafuata sheria ya kutofanya siasa chuoni
 
UDOM ina watu zaidi ya 30,000 so 5000 wakiwa CCM huezi conclude kuwa wana Udom ni wana CCM..Ukitaka kuthibitisha hilo njoo kwenye michakato ya uchaguzi chuoni...wale wote wanaodhaniwa ni vibaraka wa ccm huwa wanaumbuka sana...SIDHANI KAMA UTAHITAJI MWEKEZAJI KUJA KUKUELEKEZA HILI HADI UELEWE...USIROPOKE KWA USICHOKIJUA KWA UNDANI...MI NI MWANA UDOM NA MWANAHARAKATI WA MAENDELEO NA SI MTUMWA WA VYAMA VYA SIASA...
 
Sikiza we mwanaUdom. Tunachopinga ni muelekeo wenu kuegamia upande mmoja. Hatuhitaji muhamie CHADEMA lakini mtoe matamko ya kisomi, msitumike kama rubber stamp za vyama. Maana kila kukicha wakati wa uchaguzi hatukuwahi kusikia mkikanusha matamko ya kuiunga mkono CCM na mgombea wake. Tunakumbuka kuna baadhi ya wanafunzi walimchangia JK pesa za form. Tunajiuliza, pesa ya boom peke yake inatosha mpaka kuanza kulipia wagombea? Nyie mnajifanya wanamapinduzi mbona hadharani kutoa tamko kuwa waliochanga ni watu wachache wala si wana UDOM kupitia serikali yao?

Mnahitaji muda sana ili kujisafisha kuwa nyie ni watu huru kama wasomi wanavyotakiwa kuwa. Mnakuwa wanafiki sana kujipendekeza kwa wenye madaraka mkidhani mtapendelewa kwenye mambo ya msingi kuliko vyuo vingine. Mkae mkijua urafiki na CCM ni urafiki wa mashaka,haudumu, ni urafiki wa kura tu, ndiyo maana hata wenyewe ndani kwa ndani hakuna amani hata siku moja.

Nadhani ilikuwa ni foolish age inawasumbua,mtakuwa mmekua saivi. Tunawakaribisha kwenye ulimwengu wa INTELLECTUALS............
 
thanx sana mponjoli wape ukweli me sitegemei kuona wasomi wenye fikra finyu na wanafiki. Sasa edn for liberation inawalenga wakina nani kama msomi hajakombolewa..?
 
tangu nilipoanza kufuatilia huu mtandao wa "great thinkers",nimegundua wengi hawaipendi UDOM,hatakama kuna positive moves za kiuanaharakat,nawasilisha

plz can u mention some positive moves za kiuanaharakati...? Maana hapo udom ni sehemu ambayo CCM wamekuwa wakijisafishia. So mnatakiwa kuwa kama vyuo vingine mbona wenyewe hawasemwi au hawachukiwi.
 
naomba public statement yoyote kutoka wanafunz wa udsm kuiponda ccm
 
hakuna kabisa.. sema tunaona nyendo zao. Hawajatoa kauli. mfano ni SAUT kwani kuna tamko la kuipinga CCM. Ila matokeo yanaonekana baadaye.... Mfano ni ushindi wa mnyika. Walikaa kimya sema matokeo yanaonesha so una cha ziada
 
me siongelei matokeo ya uchaguz,nilikuwa nataka unipe statement ya wanafunz wa UDSM,.kama nyendo znaonakana ni zipi hizo?
 
me siongelei matokeo ya uchaguz,nilikuwa nataka unipe statement ya wanafunz wa udsm,.kama nyendo znaonakana ni zipi hizo?

udsm nao wanafiki tu, kwanza hao ndio wana tawi la ccm kabisa,
unakumbuka ishu ya yule mganda aliyefukuzwa?? (aliyekuwa katika harakati za kugombea urais wa daruso), kama udsm ni wanaharakati wasingekubali mwenzao aonewe, wanafiki hao, bora sisi wa sua.
 
asante
 
tangu nilipoanza kufuatilia huu mtandao wa "great thinkers",nimegundua wengi hawaipendi UDOM,hatakama kuna positive moves za kiuanaharakat,nawasilisha

Ndugu Njoro, hili nasi humu ndani tulishaliona, kulijadili pembeni kiaina na si kipindi kirefu sana Wana-JF mnaotoka UDOM mtapata fursa ya kutendewa haki humu kwa kusikilizwa OBJECTIVELY and not SUBJECTIVELY kama hivi sasa mnavyoonekana kulalamikia.

Lakini ni vema nyote huko mkumbuke na hata kufuatilia na kusoma juu ya DHANA IITWAYO 'THE POWER OF THE FIRST IMPRESSION & ITS EMBEDDED MAGIC' that often influence people's view-point about a given scenario.

Nanyi mtakapoligundua hilo na basi mtajua kwa nini wana-JF wanaonekana kutowakubalini saaana vile. Ila kama hivi mnavyotushawishi, hatuoni shida kushirikiana kwa mengi YENYE MASLAHI kwa taifa letu.

Mwisho, hebu tujuzeni huko UDOM mbona mmeamua kukalia kimya damu ya wenzenu wawili wanaodaiwa kuuaua??? Hali hii hadi lini kweli??
 
naambiwa na rafiki yangu huko,kwamba hizo ni tetesi 2
 
Jaman issue ya udom is sensitive because I was there na pia ni muhanga! Lamsingi kuna makubaliano baina yetu na waziri husika! so tuliweke pending
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom