Recent content by Mzalendo JR

  1. Mzalendo JR

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Ujenzi wa miradi hii na vyanzo vyake vya mapato [funding]

    Kwanza nianze na pongezi kwa serikali ya jamhuri kwa kuchukua hatua katika kutekeleza mipango endelevu ya kiuchumi. Pia nimpe kongole alietamka kwa ukakamavu kua miradi hii ya Reli ya kati itakayofungua Dar Es Salaam Port kwa nchi nyingi ambazo hazina bahari (Landlocked countries), kua itajengwa...
  2. Mzalendo JR

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda: Kuanzia 01.03.2019 kila mtu lazima awe na kitambulisho cha machinga au ajira, kama huna we mhujumu uchumi

    Kama haya ni ya kweli basi tafsiri ya uhujumu uchumi imetungwa chuo cha magogoni.
  3. Mzalendo JR

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Rais Magufuli 2015 - 2021

    Tukumbuke dolla inasoma 2,415
  4. Mzalendo JR

    JamiiForums Tanzania Hydroponic fodder, Mkombozi pekee wa wafugaji wa ng'ombe, kuku, nguruwe, mbuzi na kadhalika

    Mkuu ningependa kujua ni nutrients gani hutakiwa wakati wa kuotesha na kukuza Hydroponic Folders sababu ni sharti iwe in liquid form. Na sisi tumezoea mbolea za viwandani ni crystal form au Mboji.
  5. Mzalendo JR

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Dikteta huchukua hatua kadhaa kupandikiza utawala wa Imla

    Wa Kwetu ni dereva wa roli, kashavuta bangi na anaona raha sana kutimua vumbi barabarani. Mlevi wa sifa Treni ninatoa watu Singida to Dodoma bure wakamshangilie anapopiga misele coz ana full tanki.
  6. Mzalendo JR

    JamiiForums Tanzania Lumumba kwafukuta: 'Wahamiaji' wa Polepole wapeperuka, wengine wataka 'dau' lipande. Polepole acharuka!

    Bando limekata na sija_like bado...
  7. Mzalendo JR

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ataja sababu za kumuunga mkono Kagame kuongoza Umoja wa Afrika (AU)

    The gang hunting together....Waafrika hatuko tayari kuongozwa na Kagame. Bandari ulompa inamtosha.
  8. Mzalendo JR

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kushtakiwa Mahakama ya Kimataifa kutokana na mahojiano aliyofanya na BBC

    Nadharia ya mahakama ya uhalifu wa kivita haijaeleweka kwa Mawakili. I wonder wanasheria hawa wana kiwango gani cha elimu
  9. Mzalendo JR

    JamiiForums Tanzania Magufuli huenda akawa Rais wa pili kuenziwa zaidi baada ya Mwalimu

    Rudia nilichoandika hapo juu, dhumuni la yeye kwenda mikutano hii. Na si kutalii RED SEA
  10. Mzalendo JR

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Raila Odinga aondoka nchini Kenya na kwenya UK ataelezea huko hali ya Kisiasa ya Kenya

    Kujitoa kwa RAO na mahakana kuruhusi wagombea wote kujumuishwa katika marejeo ya kura imekua mwiba kwa RAO. This nullified his agenda lead to his withdrawal.
  11. Mzalendo JR

    JamiiForums Tanzania Magufuli huenda akawa Rais wa pili kuenziwa zaidi baada ya Mwalimu

    Well said kaka, this magogoni is totally on the other side of Mwalimu. Aliehoji PhD kapotea, haendi international conferences akati huko kwa kuuza sera za kupinga kwako rushwa na kuweka mazingira sawia ya uwekezaji. Adui yake mkubwa ni magazeti na watu wanaomkosoa na The so called Malaika...
  12. Mzalendo JR

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya msemo "HAPA KAZI TU" imeishia wapi?

    Umenifanya nikumbuke enzi hizo chuo mwaka wa kwanza nasoma Business Law, hapa naona hii kauli ilikua INVITATION TO TREATY. Jamaa alituita kumpigia kura kwa kauli ilokua na hamasa ya utendaji kazi na kuleta maendeleo na tukaingia mkenge bila kuchunguza kama alikua na sera to implement huu msemo...
  13. Mzalendo JR

    JamiiForums Tanzania Polepole unaikumbuka ‘Legitimacy

    Tutayaona mengi..Ubunifu unaendelea. Kusimamishwa barabarani na wananchi (Hapo kuna hadi vipaza sauti vishafungwa0... Kuandikiwa mabango.... Madiwani kuhama... Dangote hajui sera za uwekezaji..... Tuhamie Dodoma ofisi UDOM.... UBUNIFU UNAENDELEA
  14. Mzalendo JR

    JamiiForums Tanzania Serikali msiwafumbie macho wapinzani kwenye upotoshaji

    Je umejiuliza kwa nini TRA ilisitisha kutangaza mapato kila mwezi kama mwanzo serikali ilipoingia madarakani? Na kwa nini walikurupuka kujibu tarehe 9 October barua ikionyesha iliandikwa 9 September? Window dressing will cost the country in days to come. Greece did the same na sasa ni MUFILISI.
  15. Mzalendo JR

    JamiiForums Tanzania Nape: Wananchi wanauliza Bomberdia ndio nini?Sisi wa vijijini tunafaidika nayo vipi?

    Ngoja mi niandike mabango niwape raia buku ten wayabebe, niweke miundombinu tumsimamishe barabarani na vifaa vya kuhutubia vikiwepo. Napita tu mimi ni mpango shobokea ticha wa zamu.
Back
Top Bottom