Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,711
- 8,765
Wakati utawala wa awamu ya 5 chini ya Magufuli ulikuja na kauli mbiu ya 'HAPA KAZI TU'
Watu maeneo mbali mbali nchini walitumia hii kauli mbiu kwa kasi sana,mitaani ukikutana na watu ni kusema hapa kazi tu hata wale wasio na kazi walijinasibu na hapa kazi tu.
Rais mwenyewe wakati anaanza kila hotuba yake lazima aweka kibwagizo cha "Chini ya serikali yangu ni kazi tu"
Wanyonge wakafurahia na kuwa na natumaini ya unafuu wa maisha hivyo wakazidi kuipamba kauli ya hapa kazi tu wakati kazi zenyewe hakuna.
Lakini siku za hivi karibuni naona hii kauli mbiu kupotea na sasa kila mtu analia na kauli ya "Hali ngumu kiuchumi/Maisha" watu wasiojulikana,Ukosefu wa Uhuru wa kutoa maoni dhidi ya serikali,kuokotwa kwa maiti kwenye fukwe za bahari ,wawekezaji wa nje kulia na Sera mbovu za uwekezaji nchini,watumishi wa umma kutoongezewa mishahara na Shida nyingine nyingi.
Neno HAPA KAZI TU linazidi kupotea kuanzia mitandao hadi mitaani
Nani atashabikia kusema HAPA KAZI TU ili hali hajui mlo wa siku ataupataje,ajira hakuna ,wenye ajira wanakatishwa tamaa ,Nani atafurahia HAPA KAZI TU.
N.B Chini ya utawala wa Magufuli na CCM tusitegemee maendeleo ya kiuchumi na nchi kiujumla
OVA[emoji41] [emoji41] [emoji41]