Recent content by MZALAMO

  1. M

    JamiiForums Tanzania Hivi hakuna kifungo cha nje au conditional discharge? Kukutwa na nyama ya Nguruwe Pori ni kosa la kumfunga miaka 20?

    Kama ni kweli, basi busara haijatumika! Sheria gandamizi imetumika hapa.
  2. M

    JamiiForums Tanzania KERO Mabasi ya kichina ni matakataka. Sijui TBS iko wapi

    Tatizo ni Latra. Haya mabasi D14 mwanzo yalikataliwa kuingizwa nchini kutokana na kutokukidhi vigezo lakini baadaye yakaruhusiwa.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wasukuma ni jamii ambayo bado sana kustaarabika

    Kabla ya kukashifu kabila la wengine taja kwanza kabila lako.
  4. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC): Wote waliokamatwa kwa kudai haki, wakiwemo viongozi wa vyama vya kisiasa, waachiwe haraka na bila masharti

    Sisis wananchi tumechoka na uchaguzi wa maigizo. NO Reforms NO Election si agenda ya waislam, wakristu, ACT, CCM wala Chadema. Hiyo ni agenda yetu sisi wananchi tuliochoka na uchaguzi wa maigizo. Tunahitaji HAKI itendeke katika uchaguzi.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Trump ameshare video ya shambulio la mlipuko kutoka kwa jeshi lake dhidi Wahouthis waliokuwa katika mkusanyiko huko Yemen

    Ukisikia kipigo cha mbwa koko ndiyo hicho sasa.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Inadaiwa kuna kundi fulani CCM linatamani Lissu ashinde ili wapate sababu ya kumpumzisha mtu wao

    Je watanzania wamejiandaa kwa mabadiliko Oct. 2025? Sunami linalokuja si la kawaida!!
  7. M

    JamiiForums Tanzania Sauti za wapiga kura Uchaguzi wa CHADEMA zavuja. Wajumbe wamkataa Mbowe, wanamtaka Lissu

    Kazi ipo, plan B nayo imegoma mwamba kakalia kuti kavu.
  8. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu: Chama hakitaokolewa na mtu ambaye ameshakiongoza kwa miaka 21. Namuokoa Mbowe asiwe 'Mugabe'

    Sawa chuma chetu tupo na wewe CCM wamelala siku wakiamka watakukuta upo Ikulu.
  9. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Baadhi ya Wajumbe Mkutano Mkuu CHADEMA wamkataa Tundu Lissu

    Lissu ni game changer kwa sasa katika siasa za Tanzania, atabadili upepo wa siasa za Tanzania muda mfupi ujao.,
  10. M

    JamiiForums Tanzania Haya ndio makabila yenye kuongoza kwa kuwa na Wanawake wenye viburi hapa Tanzania

    Kwa dunia ya sasa mwananamke yeyote wa kabila lolote kama huna pesa atakuletea kiburi tu.
Back
Top Bottom