Recent content by mzaire

  1. M

    JamiiForums Tanzania Serikali inawalinda wanaokashifu dini - Maaskofu

    Nenda kanyolewe huko na hzo pumba zako, nendeni mkawakamate si mshawajui, zogo la nini tena???
  2. M

    JamiiForums Tanzania Serikali inawalinda wanaokashifu dini - Maaskofu

    Kwani ni kwenu huko znz nyinyi maaskofu, whts kanisa in znz??? wakristo wenyewe ni 0.2%, msituletee fujo hapa Tz. Nani atawasikiliza huko znzbar.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Is Karume pro uamsho?

    Pumba .....! none sense.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mjadala wa kujitenga kwa Zanzibar ni mgumu kuliko kujadili kuuimarisha muungano...

    Ondoa upuuzi wako..., Zanzibar inataka kujitoa na sio kujitenga ktk muungano wacha kuongopea Watanganyika. Iliojitenga ni S.Sudan. Wee ni kilaza kwanini ukaitwa muungano wa Tanzania na sio Tanzania?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Stop Zanzibar now or hell ( one government for all Tanzania)

    Sidhani kama waliifuta kwa roho safi, na ikiwa kama Watanganyika walifanya hivo bac Nyerere alikosa kufikiri kwa kina na alitenda kosa kubwa sana, kwa7bu bado Watanganyika tunaihitaji Tanganyika na hatuwezi kumfuata Nyerere kila kitu. Suala la muungano si la kulazimishana, ikiwa Z'bar au...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Stop Zanzibar now or hell ( one government for all Tanzania)

    Upumbavu wako na upuuzi wako...!!!! Ha..!!! ndio umejikaza kufiria hapo, ama weee ni kilaza cha kutupwa. Wee unadhani huko Z'bar ya leo ni ile ya Karuke na Nyerere. Nanukuu kutoka kwa Karume: "Koti likikubana utalivua, maanake huu muungano ni kama koti ukiwakaba watajitoa" According to...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Iran kuleta madaktari 1,000 Tanzania

    Ama wee Ngo'mbe kweli, tena ngo'mbe chotara....!!! hahahahahahahaha...!!!!! Ikiwa hamwataki tutawapeleka Zanzibar kwa Waislam wenzao, na huo ujinga wenu usio na maana.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Iran kuleta madaktari 1,000 Tanzania

    Mwambie huyo kifuu tundu; maana anachuku binafsi na waarab na Uislam
  9. M

    JamiiForums Tanzania Iran kuleta madaktari 1,000 Tanzania

    Weee chiziiiiiiiiiiii !!!! sasa hapa muhimbili tufe kwa7bu ya hao docta uchwara wa Taz, wacha Wairan waje; maana mimi nina appointment ya surgery baada ya wki 3 angalau nimepata faraja.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Zanzibar just now hali ya hatari

    Haya nayo tuyaandikeni Watanganyika...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge: Heri tufe kuliko Muungano kuvunjika

    Huyo Chombo ni mpumbavu tuu..! huyo ni sawa na wawakishi wa Dole na Chwaka (ccm) kwa UFUU TUNDU NA kukurupuka. Kama ni mwanamme aende huko Magomeni akaseme pumba zake, ubunge wenyewe kapewa kwa njia ya wizi wa kura kwa hio wacha ATETEEE muungano.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Zanzibar just now hali ya hatari

    Labda isambaratike hio akili yako ya jiwe, isio na uwezo wa kufikiria hata maana ya UZALENDO. Nadhani kama ni Ugaidi basi hao Madaktari wenu waliogoma ndio nambari 1, wauwaji wakubwa.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Zanzibar just now hali ya hatari

    Huyu mleta mada ni mzushi tuu, kilichotokea MUAMSHO walipanga kufanya mhadhara viwanja vya LUMUMBA lakn wamekataliwa na mhadhara ukahamishiwa msikiti wa m-buyuni viwanja vya Malindi na watu walifurika sana kuliko kawaida na hvo kupelekea askari kuja kiwanjai ndicho alichokiona huyu mleta mada.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Zanzibar just now hali ya hatari

    Trash...! Hata kama wana mkono wa Tembo kwani na wao si ni Wazanzibari au hawana haki ya kuitetea nchi yao?
  15. M

    JamiiForums Tanzania Zanzibar just now hali ya hatari

    Sasa ikiwa ww ulikuwepo si uwalize hao wanaokimbizana na Police utapata jibu, cc hapa JF tukujibu nini ?
Back
Top Bottom