Stop Zanzibar now or hell ( one government for all Tanzania) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Stop Zanzibar now or hell ( one government for all Tanzania)

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Democracy999, Jul 1, 2012.

 1. Democracy999

  Democracy999 JF-Expert Member

  #1
  Jul 1, 2012
  Joined: May 26, 2012
  Messages: 947
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nyerere and Karume's target was to go to one Government slowly, je baada ya matatizo yalioanza ya serikali ya Zanzibar isiyotambulika nje ya mipaka ya Tanzania kuanza kufanya vitendo vya kigaidi na hatari kwa kisingizio kuwa hilo si swala la Muungano, Wandugu wa JF kwanini tusianze sisi kampeni ya kutaka wazo la Nyerere na Karume likamilike? Serikali moja tu nchi nzima!
   
 2. m

  mzaire JF-Expert Member

  #2
  Jul 1, 2012
  Joined: Apr 10, 2012
  Messages: 200
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Upumbavu wako na upuuzi wako...!!!! Ha..!!! ndio umejikaza kufiria hapo, ama weee ni kilaza cha kutupwa.

  Wee unadhani huko Z'bar ya leo ni ile ya Karuke na Nyerere.

  Nanukuu kutoka kwa Karume: "Koti likikubana utalivua, maanake huu muungano ni kama koti ukiwakaba watajitoa"

  According to Nyerere: "Wazanzibari wakiamua kujitoa ktk muungano sitowapiga mabomu"

  Kama huna la kuandika tafuta chupa unywe tuuu, uctuleteee pumba hapa.
   
 3. Democracy999

  Democracy999 JF-Expert Member

  #3
  Jul 1, 2012
  Joined: May 26, 2012
  Messages: 947
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mbona unahamaki? Na je una uhakika kuwa Watanganyika walioifuta nchi yao kwa roho safi ya umoja leo waambiwe na Zanzibar kuwa walikuwa koti na sasa hatuwahitaji tena
   
 4. m

  mzaire JF-Expert Member

  #4
  Jul 1, 2012
  Joined: Apr 10, 2012
  Messages: 200
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sidhani kama waliifuta kwa roho safi, na ikiwa kama Watanganyika walifanya hivo bac Nyerere alikosa kufikiri kwa kina na alitenda kosa kubwa sana, kwa7bu bado Watanganyika tunaihitaji Tanganyika na hatuwezi kumfuata Nyerere kila kitu.

  Suala la muungano si la kulazimishana, ikiwa Z'bar au Tanganyika mmoja wapo akiukataa bac mwengine hana uwezo wa kumlazimisha, hio ndio tafsiri ya Karume na Nyerere ktk hizo Nukuu zao.

  Kwa hio Wazanzibari kwa sasa hatuwezi kuwalazimisha kuendelea kubakia kwenye muungano kwa mtutu wa bunduki.
   
 5. BabuK

  BabuK JF-Expert Member

  #5
  Jul 1, 2012
  Joined: Jul 30, 2008
  Messages: 1,847
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Kwa minajili ya kutunza historia ya uasisi wa mataifa haya mawili Tanganyika na Zanzibar pengine mfumo wa seikali mmoja unahitaji muda zaidi wa kurekebisha kasorro zilizopo kwa sasa kabla ya kudandia meli kubwa ya serikali moja,
   
 6. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #6
  Jul 1, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Karume na Nyerere kwako wewe ni nani ? sasa hiyo slowly miaka 50 huoni kama hapo hakuna tena slowly ,usitegemee yai viza kupata kifaranga ,Muungano huu kuelekea huko serikali moja ni viza ,na sasa unataka kuvunjwa au kuzikwa kwani halufu ni mbaya na kumeanza kuwa hakukaliki kwa uoza ,au huusikii !!
   
 7. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #7
  Jul 2, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,790
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Duniani kuna nchi 196 zinazotambulika na
  Zanzibar si mojawapo. U.N. kuna nchi 193
  zinazotambulika na Zanzibar si mojawapo. Afrika
  kuna nchi 54 zinazotambulika na Zanzibar si
  mojawapo... Find out what i mean...
   
Loading...