ok mkuu mi ckuwa na habari kama Dau ndio afisa mwajiri pale na eala ckutambua kuwa pale wagala hawana nafac
Sent from my TECNO S9 using JamiiForums mobile app
hapo ndio nami napokosa jibu. kuna wakati watu wanapaswa kuelewa c kila muislamu aliepo kwenye cheo ni mdini. halafu bado mtu anapaswa kusimamia tu dini yake. maana kila mtu anaamini kuna Mungu. je nae kesho akisema ameondolewa pale kwa imani ya dini yake?
Kawaida kioa mtu na tabia yake. hatupaswi kuhukumu wengi kutokana na tabia ya wachache. ama kuhukumu wote kutokana na makosa ya wengi. Ctl wapo wasomi na wana tabia njema sana!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.