Mkuu wa Wilaya Urambo mkoani Tabora awafuta kazi wakuu wa shule 10

Dj-kobo

JF-Expert Member
May 5, 2013
458
193
Mkuu wa wilaya ya Urambo bibi Queen Mlonzi amewavua nyadhifa wakuu wa shule Kumi kufuatia shule zao kufanya vibaya katika matokeo ya kidato cha pili. Aidha DC huyo amesema ameamua kuchukua hatua hizo ili iwe funzo kwa walimu wengine.
 
Mkuu wa wilaya ya urambo bibi Queen Mlonzi amewavua nyadhifa wakuu wa shule Kumi kufuatia shule zao kufanya vibaya katika matokeo ya kidato cha pili. Aidha DC huyo amesema ameamua kuchukua hatua hizo ili iwe funzo kwa walimu wengine.
Je, yeye ndiye aliwaajiri? Pili, je kuna policy iliyowekwa wazi kabla ya haya inayosema mwalimu atavuliwa wadhifa wa kazi endapo wanafunzi wa form 2 wakifanya vibaya mitihani? Je, ni hii wilaya tu wanafunzi wamefanya vibaya? Na kama jibu ni sio, ni sawa kuwavua wadhifa wa kazi hawa wakati wengine wanaendelea kufanya kazi kwa wadhifa wao? Hii nchi inahitaji kuwepo utaratibu wa kufanya kazi (standards of operations ) ili kuhakikisha kuwa wote wa nao kwenda against utaratibu wanaadhibiwa wote. Huu utaratibu wa mkuu wa wilaya kuwa demote waalimu anavyojisikia is not leadership bali ni udikiteta. This should strongly be condemned.
 
Mkuu hii slogan ya hapa kazi tu nadhani inatumiwa vibaya.
 
Kwanza kwa ufahamu wangu waalimu wanawajibika kwa mkurugenzi wa wilaya sio mkuu wa wilaya ila sijui labda sifahamu ukomo wa madaraka ya mkuu wa wilaya.
 
this is too much sasa!! yan kama hajui sasa ndo ametengeneza bomu,,,asubiri matokeo ya mwaka ujao...walimu waliobaki hawatafanya kaz hata kidogo...
 
Je, yeye ndiye aliwaajiri? Pili, je kuna policy iliyowekwa wazi kabla ya haya inayosema mwalimu atavuliwa wadhifa wa kazi endapo wanafunzi wa form 2 wakifanya vibaya mitihani? Je, ni hii wilaya tu wanafunzi wamefanya vibaya? Na kama jibu ni sio, ni sawa kuwavua wadhifa wa kazi hawa wakati wengine wanaendelea kufanya kazi kwa wadhifa wao? Hii nchi inahitaji kuwepo utaratibu wa kufanya kazi (standards of operations ) ili kuhakikisha kuwa wote wa nao kwenda against utaratibu wanaadhibiwa wote. Huu utaratibu wa mkuu wa wilaya kuwa demote waalimu anavyojisikia is not leadership bali ni udikiteta. This should strongly be condemned.

Utashangaa TUCTA wanakaa kimya, yaani watu wanaharibiwa future yao kienyeji tu!
 
Ndugu zangu haya ndiyo matatizo ya kuchanganya utaalam na siasa,, mkuu wa wilay kateuliwa tu na htjui ni mtaalm wa nni analeta matamko katka suala nyeti la kitaifa kama elimu,, hajui shule haina walim wa kutosh, miundo mbinu mibovu, watto hawapat chakula ,walimu molali imeshuka na mengne mengi ngoja tusbr kama kwel matamko yanweza kufaulish wanfunz
 
huyu DC ni kiwavi tu hana akili na hajui analolifanya...hawa no wale asante JK wanajikomba ili JPM awaone wanafaa kkumbe ni uharo mtupu.Ni vizuri hawa vvibaka waondoke na aliyewateua hawana uwezo wa kwenda na kasi ya JPM ni vibaraka wa JK wanamharibia Magufuli kazi.
 
Hii ndiyo ile Sugu alisema juzi bungen viongozi wa serikali wanaendesha mambo kwa kufuata mzuka wa Rais , Rais alianza kwa kufanya ziara za kushtukisha na kufukuza papo kwa papo pindi anapomkuta mtu ana makosa na mawazir, wakuu wa wilaya nao wote wanafuata tu mzuka wa Raisi.....Akaombwa afute kauli sjui alifuta ama la
 
Ndio huyu hapa!!!!!?kumbe age imekwenda lakini chaji inapungua kichwani,Cha ajabu nae ni mwalimu..sasa nashindwa kuelewa kama anaamini kweli hiyo ndo solution sahihi

DSC03019.JPG

Mkuu wa mpya wa Wilaya ya Singida, Mwalimu Queen Mlonzi, akiapa mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Singida, Dk.Parseko Vicent Kone.
 
Ila wamesema mkuu wa wilaya ya Tabora sio Singidani
 
Mkuu wa wilaya ya urambo bibi Queen Mlonzi amewavua nyadhifa wakuu wa shule Kumi kufuatia shule zao kufanya vibaya katika matokeo ya kidato cha pili. Aidha DC huyo amesema ameamua kuchukua hatua hizo ili iwe funzo kwa walimu wengine.
amewavua nyazifa za ukuu wa shule hajawafuta kazi...
Je, yeye ndiye aliwaajiri? Pili, je kuna policy iliyowekwa wazi kabla ya haya inayosema mwalimu atavuliwa wadhifa wa kazi endapo wanafunzi wa form 2 wakifanya vibaya mitihani? Je, ni hii wilaya tu wanafunzi wamefanya vibaya? Na kama jibu ni sio, ni sawa kuwavua wadhifa wa kazi hawa wakati wengine wanaendelea kufanya kazi kwa wadhifa wao? Hii nchi inahitaji kuwepo utaratibu wa kufanya kazi (standards of operations ) ili kuhakikisha kuwa wote wa nao kwenda against utaratibu wanaadhibiwa wote. Huu utaratibu wa mkuu wa wilaya kuwa demote waalimu anavyojisikia is not leadership bali ni udikiteta. This should strongly be condemned.
 
Hizi sarakasi sijui zitakwisha lini? Kila mtu mwenye ka wadhifa kazi yake kuvuruga na kuwatimua walio chini yake. Hii slogan ya Hapa Kazi tu ni janga.
 
hizi chuki mwisho wake ni mbaya sana shule hazina walimu wa kutosha hazina vitabu mazingira mabovu yanayosababisha utoro njaa majumbani mwamko mdogo wa wazazi kuhusu elimu we mkuu wa wilaya unamdemote mwalimu huku umevaa sare ya chama chako na kadi ya chama chako mfukoni hii sio haki mbona walimu wanastrem yao ya uongozi na mwajiri wa mwalimu ki wilaya yupo chini ya mkurugenzi na kitaifa yupo chini ya ofisi ya waziri mkuu .Na kinachouma zaidi Mkuu wa wilaya ni political figure
 
huyu DC ni kiwavi tu hana akili na hajui analolifanya...hawa no wale asante JK wanajikomba ili JPM awaone wanafaa kkumbe ni uharo mtupu.Ni vizuri hawa vvibaka waondoke na aliyewateua hawana uwezo wa kwenda na kasi ya JPM ni vibaraka wa JK wanamharibia Magufuli kazi.
Bi Queen, miaka kadhaa iliyopita alikua Mkuu wa wilaya mkoani singida, aliyumba sana ktka uongoz wake pale na hii ndo mwendelezo wa madudu
 
Back
Top Bottom