Baada ya kukatwa sasa umeamua kuja kutujazia ujinga wako huku enheeee. acha utoto wewe. na ninakwambia na bado sana maana mmeanza kula kule mlikoweka mboga.
Ni hotuba zipi na za viongozi gani mahiri unaowasifu kuwa chadema wanaweweseka kutokana na hoja za act?? Au mtu mmoja ndani ya act sasa amebeba jina la viongozi mahiri ndani ya act??
Amekutwa ameshaaga dunia na mamake mzazi yuko Bugando hospital akiwa anakula kwa mipira. maana na yeye alijeruhiwa kwa kukatwakatwa kwa mapanga. Tena nasikia mama huyu alikuwa ana watoto 3 wote ni albino. Kwa hiyo wamebaki wawili. Pole kwa mama huyu. Huwa nafikiria sana kama albinism ni utajiri...
Pole sana tutasubiri ee subiri mwendo wake mwenyewe utakubali. Kuna msemo husema heli kulambilizia kuliko kula kavu. Kikwetu tunasemaga kiba ukunavilidza kuliko ukulumanga
Jana chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Tulifanya mkutano wa hadhara katika viwanja vya barafu hapa mjini dodoma. Kiukweli watu walijitokeza kwa wingi sana na mwishoni tuligawa kadi na ziligombaniwa kama mwana mwali.
WANANCHI WAKIWA WANAMSIKILIZA KAMANDA KIGAILA. STAY CONNECTED MAANA MOTO...
Mimi nikuulize swali. Wale walioshika mabango yanayoelezea kuwa katiba wameielewa na wenye maamuzi ni wananchi ndiyo wenye maamuzi ni vijana wa chadema? It doesnt make sence kama chadema wanaweza kufanya vurugu ilihali wao ndiyo wanaunga mkono maoni ya jaji warioba. Tell me
naona kwa picha hii umepumua maana inawezekana ulikuwa unahisi leo huna chako ukienda kusign lumumba but i believe that hiyo picha ilipigwa b4 mkutano haujaanza kwa 7bu haijawahi kutokea hata mwenyekiti wa mtaa akiitisha mkutano wa cdm wakatokea watu wa dizaini hiyo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.