Recent content by Myunani wa II

  1. Myunani wa II

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Sina uhakika sana mkuu, ila hivyo ndo inaonyesha huku kwangu, tusikate tamaa, tuzidi kuomba na kujaribu kwa nguvu zote
  2. Myunani wa II

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Naomba kutoa ushuhuda. Mwaka jana na huu mzima nilikua nikipambania mrija wa asali. Kuzunguka mikoa kadhaa ya hapa Tanzania kufanya interview mbalimbali zote nilikosa/kufeli Mwaka huu nilifanya interview za utumishi kadhaa, nilikosa na baadhi niliingia oral Na leo hii mojawapo Mungu...
  3. Myunani wa II

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa milioni 3 unatosha kufungua duka la dawa?

    akikujibu nitag
  4. Myunani wa II

    JamiiForums Tanzania Msaada kusajili clinic

    Akijibu nitag
  5. Myunani wa II

    JamiiForums Tanzania Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

    kipofu kaona mwezi leo
  6. Myunani wa II

    JamiiForums Tanzania Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

    wahindi wekundu
  7. Myunani wa II

    JamiiForums Tanzania Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

    Mbelgiji anapumulia compressor!
  8. Myunani wa II

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    dah tunapigika sana asee
  9. Myunani wa II

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    hapa ni changamoto kweli kweli maana ukisema uangalie pdf kila siku website ya psrs duh kwa mwaka mzima ni kazi sana maana kwa sasa hivi tu inabidi uangalie website kutwa mara tatu kama dozi asubuhi baada ya kuamka mchana wakati wa kula na usiku kabla hujalalala ukisema usubirie za kanzidata...
  10. Myunani wa II

    JamiiForums Tanzania Hakuna Timu ya Afrika Itakayoingia Hatua ya Mtoano Huko Qatar

    kichwa cha mwendawazimu kila mtu hujifunzia kunyoa!
  11. Myunani wa II

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli kuwa uume unaweza kuongezeka ukubwa baada ya balehe kuisha?

    badala ya kujadili maendeleo, watu wanajadili utopolo 'afrika the land of darkness'
  12. Myunani wa II

    JamiiForums Tanzania Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

    ujerumani asipoacha siasa kwenye mpira hatoboi, ajifunze kwa iran baada ya kichapo cha muingereza jana imebidi aimbe nyimbo ya taifa akaachana na siasa karudi mpirani na umeona amepata matokeo sasa watu wanaziba midomo kwenye picha ndo nini wapigwe tu
  13. Myunani wa II

    JamiiForums Tanzania Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

    mjerumani apigwe tu
  14. Myunani wa II

    JamiiForums Tanzania Arusha: Aachwa na Mumewe baada ya kuchora picha ya Nabii Mkuu

    Mathayo 7:15-23 15 Mjihadhari na manabii wa uongo wanaokuja kwenu wakijifanya kondoo wasio na madhara ingawa ni watu hatari kama mbwa mwitu. 16 Mtawatambua watu hawa kwa matendo yao. Mambo mazuri hayatoki kwa watu wabaya, kama ambavyo zabibu haitokani na miiba, na tini hazitokani na mbigiri...
  15. Myunani wa II

    JamiiForums Tanzania Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

    genge la wahuni tu wapigwee
Back
Top Bottom