Recent content by mymy

  1. M

    JamiiForums Tanzania Salary slip portal

    Nimefanya hivyo lakini mpaka sasa hakuna majibu/ mail yoyote kutoka kwao
  2. M

    JamiiForums Tanzania Salary slip portal

    Habari wana JF. Samahani, naomba kama kuna mwenye kufahamu iwapo mtu amesahau password ya kwenye account ya Salary slip portal afanyeje. Maana namba yao waliyoweka kwenye website yao haipokelewi. Natanguliza shukrani.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Huyu mwamba wamevunja vunja mifupa yote!

    Mkuu ni-pm hiyo clip tafadhali
  4. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Kununua na Kuuza Mazao (nafaka): Jifunze Mbinu za Kuanzisha na Kusimamia

    Habari wanajukwaa. Mwenye ufahamu na biashara ya kusafirisha mchele kutoka Ubaruku (WIlaya ya Mbarali Mkoani Mbeya) kwenda Dodoma naomba anieleweshe hapa, kuhusu gharama na namna ya kupata malori yanayobeba mzigo. Asanteni.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu bakteria wa H.Pylori; Athari na tiba yake

    Samahani Ghrama ya kipimo Cha h.pylori inaenda shilingi ngapi?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Brown rice

    Wakuu habari za leo. Naomba kujuzwa Bei ya brown rice jijini Dar es salaam.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kudizainiwa na Uchapaji wa sticker

    Bei ikoje
  8. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Bei ya "zipper bags"

    Habari. Nahitaji kufahamu Bei ya mifuko (zipper bags) yenye ujazo wa kilo 2 na kilo 5. Rangi sii lazima iwe khaki...Picha ya mifuko nmeambatanisha...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: Kuweni makini na shimo kubwa barabara ya Morogoro

    Wizara husika ilitoa maelezo hayo mida ya mchana.... Sent using Jamii Forums mobile app
  10. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kufungasha na kuuza mchele

    Asante ndugu.... Sent using Jamii Forums mobile app
  11. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kufungasha na kuuza mchele

    Habari wadau. Nilikuwa na wazo la kufanya biashara ya kufungasha mchele kwenye kilo 5,10 na 20 na kuuza kwenye fremu. Je, kwa biashara ya aina hii natakiwa kuwa na vibali vya aina gani kutoka serikalini? Natanguliza shukrani. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. M

    JamiiForums Tanzania Vyama vya wafanyakazi Tanzania vinakwama wapi?

    Kujiunga sio lazima ni hiyari. Na una haki ya kujitoa uanachama. Sio lazima ndugu kuwa mwanachama.... Sent using Jamii Forums mobile app
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Kilimo cha mpunga Bahi

    Mkuu ulilima wapi? Tupe madini Sent using Jamii Forums mobile app
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha Mpunga Bahi

    Habari wadau. Kama kuna mwenye kufahamu inapopatikana skimu ya umwagiliaji huko Bahi ambako kunalimwa mpunga anijuze tafadhali. Natanguliza shukran.
Back
Top Bottom