Recent content by MYAO WA KASKAZINI

  1. MYAO WA KASKAZINI

    GE2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

    Huyo jamaa akisimamishwa upinzani watachukua dola
  2. MYAO WA KASKAZINI

    Tujikumbushe Mabasi ya abiria ya zamani tokea tupate uhuru

    Fresh ya Shamba Luxury Coach-Dar-Arusha
  3. MYAO WA KASKAZINI

    Serikali kununua ndege nyingine ya Boeing 787

    Kweli kabisa, akiisikia atazimia
  4. MYAO WA KASKAZINI

    Saed Kubenea: Kumetengwa Tsh 5 Bilioni Kununua Wapinzani Ushahidi Upo, CCM Mkibisha tunatoa

    Huyu Mbunge Wa ajabu sana, na Siasa zake za Kimbulula sana. Hivi kwenye siasa kuna kitu kama "Bisheni Niwaumbue"...... Huyu mtu haaminiki
  5. MYAO WA KASKAZINI

    NSSF kumburuza Mbowe mahakamani kwa kushindwa kuwasilisha michango ya wafanyakazi wake

    Mbona Diallo wa SMGL hawampeleki kwa court na wakati na yeye anadaiwa mamichango kibao ya wafanyakazi wake huko NSSF?!
  6. MYAO WA KASKAZINI

    Commission for mediation and arbitration (CMA), taasisi nyeti inayodharauliwa

    Ni requirement ya kisheria lakini INA maana hao wawakilishi binafsi wao wanapatikanaje, hawana hata qualifications!?
  7. MYAO WA KASKAZINI

    CCM itameguka mapande makubwa kabla ya uchaguzi

    Yule kijana kwa sasa ni hatari sana kwa CCM
  8. MYAO WA KASKAZINI

    Commission for mediation and arbitration (CMA), taasisi nyeti inayodharauliwa

    Cjui hata mtu kama yule amekubaliwaje kuwa mmoja wa wawakilishi binafsi wakati huko kichwani hana kitu. Ana chama cha wafanyakazi kinaitwa TAROTU......Lakini anawakilisha wafanyakazi wasiokuwa wa mabarabara....hiyo mamlaka anaitoa wapi? Ama wawakilishi toka trade unions siku hizi wanaweza...
  9. MYAO WA KASKAZINI

    Commission for mediation and arbitration (CMA), taasisi nyeti inayodharauliwa

    Na hii taasisi sasa imeshakuwa, wawaondoe HAWA vilaza wanaoitwa Personal Representatives, sijui hata hilo neno walilitoa wapi. Ni Vilaza kabisa......ni wapuuzi watupu.....huyo Peter MNYANI ndiye bogus kabisa
  10. MYAO WA KASKAZINI

    Commission for mediation and arbitration (CMA), taasisi nyeti inayodharauliwa

    Wale vijana pale ni wa kupongezwa sana. Mazingira yao ni magumu sana. Lakini wanajituma. Changamoto zao ni nyingi lakini wanajitahidi Ku deliver. Masuala ya rushwa pale sijawahi kusikia, na kama yapo ni kiasi kidogo sana. Serikali ikiitupia macho hii taasisi mambo yatakuwa murua sana na wata...
  11. MYAO WA KASKAZINI

    Commission for mediation and arbitration (CMA), taasisi nyeti inayodharauliwa

    Yupo Mkurugenzi Mkuu pale anaitwa somebody NUNGU!! Ajitahidi hata kuwafungia wale vijana AC, wanafanya kazi kwenye mazingira magumu sana. Chumba kimoja kina waamuzi wawili hadi wanne. Sasa hiyo Mahakama sijui ni ya wapi. Nijuavyo Mimi, Chamber moja ya Mahakama inakuwa na Hakimu mmoja na...
Back
Top Bottom