Kwa uzoefu mdogo nilionao ni kwamba ,maeneo ya jiji dar esalaam surveying ni tsh laki mbili hii ni kutokana na gharama za usafiri then kuchimba kisima kama maji watayapata baada ya kupima :kwanza aina ya udongo unaopatika sehemu husika inadetermine /inapelekea bei either kuwa kubwa au ndogo ,kwa...
Watu wanafiwa na ndugu zao wa muhimu sana lakini hatuhmjawahi sikia kama mtu kapata hisia mpaka zmemsabshia kifo ,hebu tueleze kwa kina rukuelewe ,kulikuwa na uhusiano gan kati ya nyoka na na huyo binadamu komba ?????
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.