Recent content by myAfrica

  1. M

    Kuanzisha kiwanda cha kutengeneza maji ya kunywa

    sure thing mfano. Filler ya 40bpm inauzwa around $20,000. Durability yake sijui na running cost (machine nyingine zinaitaji vipuri kibao tena mara kwa mara)hii inakua complete set(conveyor+rinser+filler+capper). Label machine mtu anaweza kuamua kukata manually na kufeed akaingia cost ndogo ya...
  2. M

    Kuanzisha kiwanda cha kutengeneza maji ya kunywa

    Oky acha uoga hauibiwi, naweza kuwakutanisha na mtaalam huyu kutoka Jaisat engeneering. Watu smart wangeomba email kama unaogapa kukutana. M trying to assist.
  3. M

    Kuanzisha kiwanda cha kutengeneza maji ya kunywa

    Kwa waliopo Dar opportunity ipo,free consultation from Jaisat engeneering from India. I can arrange only today as he is leaving tomorrow. There is cheaper altenative. M sure will expose you all with live demonstration. Check with me private msg
  4. M

    Kuanzisha kiwanda cha kutengeneza maji ya kunywa

    Ni sawa kwa Euro 400,000 kama ulivyosema,nikupe mfano mdogo wa treatment plant/RO ya kichina inapatikana kwa Tsh 38,000,000/= capacity yake ni 1000L/H filler ndogo kabisa ya india inakua na 16bpm hiyo yako ya 3000ph/50bpm ni kubwa bado. Anyway technology inabadilika nisiwe mbishi. What is...
  5. M

    Mjadala mkali kati ya wasomi wa Jamiiforums na Shy land

    Dats what m takin about,m damn sure you don know a word from whatever your copyng and paste.Too long and irrelevant..dont forget to mention source/bibliography...use your head BIG ASS this is not an exam.
  6. M

    Mjadala mkali kati ya wasomi wa Jamiiforums na Shy land

    What a waste, ur brain matches shy..ass your other Id, both desparate trying to prove something to yourself because we real don care about the thread or big_in response. Your wasting your time to a stupid post..a guy never went to Uni he is form IV or VI leaver who couldnt make t to UNI,he...
  7. M

    Mjadala mkali kati ya wasomi wa Jamiiforums na Shy land

    Another nonsense, kwani elimu ni kufanya kitu asichoweza fanya mwingine?? Very contradicting statement no wonder it comes from a layman.
  8. M

    Japokuwa nimeishia darasa la saba lakini kaka yangu ameishia kuwa omba omba kwangu

    'am wasting my time again, haya all the best. Mpe cherehani huyo kaka yako ashone. Na pole sana dada kama uliwahi kuwa abused kwa na waliosoma. Hii concept ya ujasiliamali naona haijawaingia vyema. You have stupid arguments za vilabuni penu.
  9. M

    Japokuwa nimeishia darasa la saba lakini kaka yangu ameishia kuwa omba omba kwangu

    Huyo ndugu yako umemwambia? Au ushamba unakusumbua? Kwa hiyo naye unataka akabebe zege kama wewe..?hapo ndo utaona mko sawa sasa. Sasa unahitaji elimu ili utoe inferiority complex uliyonayo? Bado ujafikia mafanikio ya kuja kutangaza hapa. Na ndio maana hukusoma maana ungesumbua sana hapo...
  10. M

    Video: Waafrika wapigwa kinyama India kwa ajili ya kutongoza Wahindi

    Mbona wao wanatongoza dada zetu, tatizo ni sexual harassmen, f i could be The President i cud burn all the stinking bastards...they are nothing. Nikiwaona wanavyotanua hapa town i hate my self and my country.
  11. M

    Huyu ndiye Rais wa Tanzania 2015, hakuna ubishi

    Ntahama hii nchi pamoja na uzalendo nilionalo,hao jamaa iliowataja ni watafutaji tu wa mjini. Slaa kajikuta ni chui ndani ya mapaka.
  12. M

    Vimemo vya Sitta kwenye Bunge Maalumu la Katiba vyatikisa kwenye mitandao

    Uzushi tazama K za memo ya kwanza na K ya memo ya pili utagundua hazifanani. Kama amekili ya kwanza ni yake then ya pili sio yake tazama artwork! Hawa wanasiasa wenu wanapenda cheap populality na kucheza na matukio,but they are not careful in whatever they do.
  13. M

    Kuanzisha kiwanda cha kutengeneza maji ya kunywa

    Ndugu steven sambali, Machine ulizoonyesha ni PET Blowing machine-(mashine ya kuzalisha chupa), Hujagusa vifuatavyo; 1.Preform moulding machine-kama mtu atanunua preform ni sawa pia. 2.Air compressor,complete set haiwezi pungua 70,000$, machine nyingi za PET Blowing,filler,shrink mc zinatumia...
  14. M

    Nimeacha kudharau wanaosoma vyuo tofauti na UDSM

    Kumbe bado unasoma,kwa hiyo ulijipima wewe mwanafunzi na hao vijana wafanyakazi? Au graduate wa Udsm na wa ITA? Ulitumia njia gan kuangalia perfomance? Subiri boom urudi zako chuo.
Back
Top Bottom