Recent content by my king

  1. M

    JamiiForums Tanzania Naomba Kufahamu juu ya kilimo cha Machungwa katika mikoa ya Pwani, Tanga au Morogoro

    Nahitaji shamba huko msaada Kiongozi
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tathmini ya mapato ya kilimo cha michungwa 1000 baada ya miaka 3

    Nahitaji miche Kiongozi
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri aina bora kilimo cha mazao ya kudumu Mkuranga

    Panaitwa Mibulani, maji nategemea mvua mtaji, mtaji upo kiasi, aina ya vipando naomba ushauri wenu.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri aina bora kilimo cha mazao ya kudumu Mkuranga

    Habari wadau humu ndani. Nina shamba lenye ukubwa wa eka 30 Wilaya ya Mkuranga ndani ndani huko. Mipango yangu ni kupanda mazao ya kudumu eka 20 kati ya hizo 30 msimu wa masika yajayo. Naomba muongozo aina ya mazao ya kupanda, wapi nitapata miche bora, na ushauri elekezi wa utunzaji wa miche...
  5. M

  6. M

    JamiiForums Tanzania Fursa ya Kilimo cha Korosho Manispaa ya Lindi

    Tupe basi dondoo tuanze process za kupata maeneo. umeutelekeza huu uzi Mkuu
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nataka kujua bei za mihogo, shamba lipo kibaha, ekari tatu

    Wa Bei ipoje kwa ekari?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha Mihogo (Cassava): Mbinu, Ushauri, Changamoto na Masoko yake

    Bei ya muhogo kwenyo soko ipoje?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Bustani ya Miti ya Matunda katika Nyumba

    Zanzibar spices unataka kuhama Zanzibar?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Naomba uniulize chochote kuhusu kufanikiwa katika Biashara na Ujasiriamali

    Mkuu ONTARIO kwa kilimo cha Muhogo unachukua muda gani kupanda mpaka unavuna.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Wakuu, njoo tujielimishe kuhusu hisa za Vodacom

    Mwisho wa kufanya manunuzi ni lini?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Fursa ya kuwekeza kwa msingi mdogo

    Shukran
  13. M

    JamiiForums Tanzania Tunawakaribisha wanasheria, wahasibu, wahandisi, watawala, wawekezaji...

    Bado tunakaribishwa? naomba nikaribie Bi Zainab, muongazo tafaadhal.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Fursa ya kuwekeza kwa msingi mdogo

    Nataka kuwekeza plan B taratibu zipoje
  15. M

    JamiiForums Tanzania Business ideas (Bure)

    Ushauri wadau !!!!!!!!!
Back
Top Bottom