Recent content by my experience

  1. my experience

    JamiiForums Tanzania Hatimaye mikopo yaanza kutolewa kwa watumishi wa umma

    Asilimia 14 sio rahisi ni 21%
  2. my experience

    JamiiForums Tanzania World most famous people with their QUOTES from their great SPEECHES

    Ni rahisi kuwa mwanajeshi kama hakuna vita
  3. my experience

    JamiiForums Tanzania Uchafu na umasikini

    Kuna matajiri wengi tuu sio wasafi hasa kanda ya ziwa hella sio kigezo cha usafi
  4. my experience

    JamiiForums Tanzania Baada ya CRDB kusitisha kutoa mikopo, NMB waanza kufuata nyayo!!

    Na kuna MAJASIRI wachache wanakopa sio kwa lengo la kulipa hapana RIBA ni kubwa wanakopa kwa nia ya kuwauzia bank nyumba
  5. my experience

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya Maamuzi juu ya Maisha Yako ya Kitajiri hapa Duniani

    Kwa kifupi wasomi wetu sio waoga ni wanaona AIBU ajiuliza yani tuliokuwa nao chuoni wanikute nauza mafenesi au mitego ya panya aaaaaaaah wapi bora njaa iniue hapo sio uoga ni aibu
  6. my experience

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya Maamuzi juu ya Maisha Yako ya Kitajiri hapa Duniani

    Mkuu hongera huu ndio uthubutu sasa
  7. my experience

    JamiiForums Tanzania MBEYA: Walimu warekodiwa Video, wakimfanyia unyama Mwanafunzi

    Sina uhakika ila kuna baathi ya watu wanadai jamaa sio mwanafunzi bali alivaa sare za shule ili aingie eneo la shule akawarubuni watoto wa kike walimu wakawa wamemkamata
Back
Top Bottom