Recent content by Mwl Sambu

  1. Mwl Sambu

    JamiiForums Tanzania Nitumie vigezo gani kununua pikipiki used

    kimsingi umetoa ufafanuzi mzuri.. atakuwa kaelewa
  2. Mwl Sambu

    JamiiForums Tanzania Israel inasubiri mateka wake kwa njia ya mazungumzo. Kwa vita imeshindikana kuwapata

    mkuu kwani ni lazima utoe hoja kwa kuegemea upande fln? ni kama unaona Hamas wameshinda vita.. ili hali wamefanikiwa kurinda mateka 100+ wakashindwa kulinda zaidi ya raia 1000+
  3. Mwl Sambu

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Camera kwa ajili ya kupiga picha

    ushawahi kuona mtu amebeba cctv camera ukumbini yuko anapga picha
  4. Mwl Sambu

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Camera kwa ajili ya kupiga picha

    mm nahisi ni kutoelewa kama camera zipo za aina nyingi na kazi zake hutofautiana
  5. Mwl Sambu

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Camera kwa ajili ya kupiga picha

    kuna camera za kushoot video, kushoot picha.. radio and video broadcasting camera, cctv camera.. camera za kwenye magari kwa ajili ya reverse and road events recording and so on. au hujuagi kama camera ziko na kazi nyingi.. hahaha poulee kijana
  6. Mwl Sambu

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Camera kwa ajili ya kupiga picha

    ulitaka nisemeje[emoji35]
  7. Mwl Sambu

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Camera kwa ajili ya kupiga picha

    nina shida ya camera ya kushoot picha.. yenye mwonekano kama huu kwenye picha, kama kuna mtu anauza au anafaham wp naweza kuipata anisaidie
  8. Mwl Sambu

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: "CUF ni CCM B!"

    hujui siasa, na hujui ni upi mtaji wa siasa, fikiria zaidi.. "The Beautiful Ones Are Not Yet Born"
Back
Top Bottom