Nahitaji Camera kwa ajili ya kupiga picha

Nahitaji Camera kwa ajili ya kupiga picha

Mwl Sambu

Member
Joined
Apr 20, 2015
Posts
8
Reaction score
5
nina shida ya camera ya kushoot picha..
yenye mwonekano kama huu kwenye picha,
kama kuna mtu anauza au anafaham wp naweza kuipata anisaidie
_20180909_094953.JPG
 
Agiza online, angalia specs zako mitandaoni utaona.
Nowadays hakuna kitu kinashindikana
 
Nimecheka nilipoona 'kwa ajili ya kupiga picha'... Heheheee
 
Camera ya kupiga picha

Naomba kunywa maji ya kunywa

Mkuu sasa kuna camera ya kunyolea nywele!??
 
kuna camera za kushoot video,
kushoot picha..
radio and video broadcasting camera,
cctv camera..
camera za kwenye magari kwa ajili ya reverse and road events recording
and so on.

au hujuagi kama camera ziko na kazi nyingi.. hahaha poulee kijana

Zote hizo zinapiga picha jamaa..
 
Back
Top Bottom