Mkuu uwe mwepesi wa kuelewa na kudadafua mambo kwa busara. Kisiasa neno vijana hutimika ku depict watu wote wenye uwezo, sifa, morale, wa kupambana na adui yaani nguri wapinga maendeleo. Pia bila kuachilia mbali kuwalinda na kuwasamini makundi ya watu wote yaani watoto, wazee, walemavu nk.