Recent content by Mwl Mwanaharakati

  1. Mwl Mwanaharakati

    JamiiForums Tanzania Andazi! Kwanini mtu achague andazi?

    Hahahaaa!
  2. Mwl Mwanaharakati

    JamiiForums Tanzania Andazi! Kwanini mtu achague andazi?

    Katika hali ya kawaida ni ajabu kwa mtu kuamua kuthaminisha andazi na mtu au taasisi. Hata hivyo, kama ambavyo Sheria ya Sababu na Athari (Cause and Effect Law) ya Aristotle (384–322 BC) inavyoeleza; kila kitu hutokea kwa sababu na kila athari huwa na sababu maalumu. Aristotle anaona kuwa...
  3. Mwl Mwanaharakati

    JamiiForums Tanzania Mjue Mtemi Milambo wa Tabora (1840-1884)

    nimeipenda.
  4. Mwl Mwanaharakati

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya njia unazoweza kutumia kupata wazo bora la biashara (Business Idea)

    Asante mkuu, elimu madhubuti kabisa umetoa.
  5. Mwl Mwanaharakati

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri

    Ndugu wanajf mwaka unatamatika.Natamani mwaka ujao niwe mjasria mali.wazo langu nikumiliki kampuni yangu ya uchapishaji wa vitabu.(publishing co.)NAOMBA USHAURI WA HATUA ZA KUFUATA ILI LENGO LANGU LITIMIE. NB:Ningependa kufaham pia gharama zinazo hitajika.
  6. Mwl Mwanaharakati

    JamiiForums Tanzania Top Ten Best Paying Banks in Terms of Salary by 2013 in Tanzania

    money shape people but people shape not,money
  7. Mwl Mwanaharakati

    JamiiForums Tanzania PICHA: Zitto Kabwe afunika Mkutano wa Hadhara huko Kigoma Mjini

    cna imani na siasa za TANZANIA.Wanasiasa wa Tz wanafiki sana hakuna cha chadema wala ccm,hakuna cha SLAA wala ZITO.Wizi mtupu.
Back
Top Bottom