Recent content by mwitikio

  1. M

    BAVICHA Wazindua Matawi Mapya ya CHASO Leo

    kwa uzinduz huu wasubiri poo hakuna kulala nchi imetikisika ukawa hao magogoni
  2. M

    Prof PLO speech

    hw did u knw that is the great thinker if u didnt watch, stop hyprocricy
  3. M

    UKAWA: Hatujaalikwa sherehe za Muungano!

    dogo viroba vinakusumbua fanya mengine baada ya kukosa uongoz wa ccm chuoni tena umerudia huku
  4. M

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumamosi, Tarehe 12 Aprili 2014 - Uwasilishaji wa Taarifa za Kamati

    whr are u Tanganyika, you are children are crying for u, we have lost our true nature, whr are u come back and serve us
  5. M

    Viongozi wa chadema mufindi naomba majibu katka hili

    ajenda za ukanda na udini CHADEMA hazina nafasi tena, chadema ni msingi inazidi kusonga mbele ktk kata zote mufindi. mtasubili sana
  6. M

    Viongozi wa chadema mufindi naomba majibu katka hili

    Itakumbukwa kuwa mufindi ni moja ya wilaya ambazo zimesahaulika sana ktk ukomboz. mufindi ni ya pili ktk mapato kati ya wilaya zote TZ, lakini maisha ya wana mufindi kwa ujumla bado yapo ktk hali mbaya sana na hii ni kutokana na ufisadi ulioanywa na mkurugenzi aliyehamishiwa kagera zaidi bil 1...
  7. M

    Mbowe kuwania tena uenyekiti CHADEMA

    we wa kusema hvo mnyalukolo umeshaanza kulegea
  8. M

    Ufafanuzi: Ni nani atamgusa Mbowe ndani ya CHADEMA?

    Thead imekosa mashiko kabisa na cdm ya sasa siyo ya mbowe wala mtei, na ukizungumza wa asisi wa chadema na unamtaja mtei peke yake unadhihirsha sisa zenu za majitaka na upambe, kuna watu wengi km kina GEROGE WASIRA ambao kimsingi walifanya kazi kubwa mpka leo cdm inapendwa kila sehemu, hata hivo...
  9. M

    Sofia Simba amewahi kupata uongozi kutokana na kura za wananchi?

    ku chalenge uwezo ndio kunatufanya tuhoji historia yake ya uongozi mtu huyu ametoka wap, kwa sababu avyovisema vinatia mashaka, kauli zake zitakuja kumgharimu baadae kwa sabau zimejaa uongo, na hamna tofauti kait yake na mtoto mdogo
  10. M

    Sofia Simba amewahi kupata uongozi kutokana na kura za wananchi?

    mama malekela hakuwahi kuwa mlopokaji km sophia simba, amekuwa akitamka maneno ambayo hayana justification kitu ambacho ni hatari
  11. M

    Scramble and partition of Tanzania

    Wana Jf Nimeamua leo nizungumzie leo kidogo kuhusu mwafaka wa nchi yetu, Tangu nikue nimeona mengi nakusikia mengi pia, katika kusoma kwangu history, mwalimu wangu alinifundisha topic moja ya scramble and partition of Africa, ailipojaribu kutuelewesha jinsi gani bara letu lilivyo gawanya na...
  12. M

    Kwa muktadha huu: Dr Slaa ikulu hapamfai!

    Unatapatapa sana mkuu inavonesha slaa anakupa sana headache, utasubiri sana mkuu, toka uanze kupost sijawahi kuona hata logic moja zaidi kutunga. Jipangeeeeeeeeeeee
  13. M

    Kwa muktadha huu; matumizi ya 'DVR' kwenye mikutano ya CHADEMA ni danganya toto!!!

    Tatzo hamtaki kukubaliana na ukwl, ukitaka nitakupa info zote, ila sababu hapa itifaki inazingatiwa cwezi kuweka hadharani, nmfaham in and out buku saba hxo za usaliti zitawatatafuna km MTU anaweza kutunga uongo name kuweka humu atashindwaje kumpa ushauri mwigulu name na Nape kulipua bomu
  14. M

    Zitto Kabwe anafikiria kuacha siasa??!!

    Zitto piga kazi watanzania hawataki kusikia habari hzo tena wanachotaka ni ukombozi siyo mambo unayopost hayo aid in kuwavunja moyo watanzania waliokuamini name kuamini harakati zako. Ushauri Wang huna mpango na ukomboz Bali unaweza kuwa manager Wa kigoma all starz, try it u can do better...
  15. M

    CUF kuandamana June, 29 hadi IKULU kupinga UKATILI LIPUMBA kuongoza, kupokelewa na KIKWETE

    Usisahau kumkumbusha ndoa mliyofunga kwamba imekuwa name matatizo kiasi kwamba umeenda msikitini il I kumshataki kuwa hajatimza ahadi zake, he kweli mlikuwa name lengo LA kuwakomboa watanzania na je nitakuwa nimekosea km nikiwaita wasliti
Back
Top Bottom