BAVICHA Wazindua Matawi Mapya ya CHASO Leo

BAVICHA Wazindua Matawi Mapya ya CHASO Leo

Inavutia sana, Wakati ccm wakitumia nguvu ya mtu mmoja kukijenga chama Chadema kila mtu ni mpambanaji.

Kwa leo tu ninataarifa za mukutano zaidi ya minne sehemu mbalimbali..

Hapa, Bavicha Kigamboni
Pale, Mnyika Mtwara
Kule, Mawazo Meatu
Huku,Oparesheni Imba ukombozi

Mwaka huu sijui tu, Ole wao waseme kura hazijatosha...!!!!

BACK TANGANYIKA
 
Ushaurini na uongozi wa juu wa chadema uwe na utaratibu wa kukutana na viongozi wa chini mara moja moja kueleza mikakati ya chama na mbinu mpya za kukiimarisha chama, madiwani na wenyeviti wa mitaa wanalalamikia sana hili la viongozi wa juu wa chama kutowajali na kutodhamini mchango wao chamani, utakuta chama kimeandaa mkutano lets say GEITA, wakifika wanaongea na wananchi a, b, c .....z. wakimalza kwenye magari yao na kuondoka. Vikao na hawa wajenzi wa chama ni muhimu sana. hawa ndio wanazo mbinu na matatizo ya eneo husika, watumieni vizuri..
 
Bavicha wanafanya nzuri sana kila heri makamanda
 
Baraza la vijana wa CHADEMA ( BAVICHA ) Leo wanatarajia kuzindua Matawi zaidi ya Matano,katika Chuo Kikuu cha Mwalimu Nyerere kilichopo Kigamboni.

Akizungumza asubuhi hii msemaji wa Baraza,ambae pia ni Mratibu wa Uhamasishaji BAVICHA Taifa Bw.Edward Simbeye amesema,uzinduzi wa Matawi hayo ni chachu kubwa kwao kama Viongozi wa BAVICHA kuendelea kuimarisha mshikamano wa kiutendaji baina yao na Wanafunzi wa Vyuo vikuu vyote nchini.

Matawi hayo yata zinduliwa na Katibu Mkuu wa BAVICHA Taifa JULIUS MWITA,shughuli ambayo inatajiwa kuhudhuriwa na zaidi ya wanafunzi 800 kutoka vyuo tofauti Mkoani Dar es Salaama.

Msafara huo Katibu Mkuu wa BAVICHA ameambatana na Naibu Katibu Mkuu wa BAVICHA bara na Muweka hazina wa Baraza hilio Bi.Eveline Meena.

Hizi ndio nyuzi tunazozitaka
Zile habari za kile kigenge cha Mwandiga tuzipe kichogo
 
kwa uzinduz huu wasubiri poo hakuna kulala

nchi imetikisika ukawa hao magogoni
 
MACHAGGADOMO yakiongozwa na DJ KENGEZA MBOWE mwenye MATEGE ya macho.Hatudangayiki mwaka huu.
 
Umeongea Kitu Cha Maana Sana Ni Kweli Inauzi Mmepata Mgeni Wenyeji Mnaflahi Na Kujidai Halafu Kumbe Wenzenu Hata Habali Hawana Nazani Hili Watalifanyia Kazi Mohamed Mtoi. Yerko Nyerere Ben Saanane Msipuuze Ujumbe Huu Unamashiko
 
Wamepigwa mkwara wakaona hii ndio njia ya kutokea bavicha iliondoka na heche waliobaki hamna kitu, ACT ndio habari ya mjini.
 
Daima mbele nyuma mwiko mapambano yanaendelea


Hakuna umoja uliomkuu wa kujenga taasisi za chama kuliko mtu,hakuna uongozi uliomkuu wa kupigania maslahi ya chama kwanza kuliko ubimafsi.Ndani ya chadema daima taasisi itakuwa namba moja na sio mtu.wanaofuata mtu wajiandae kwenda naye popote
 
Back
Top Bottom