Viongozi wa chadema mufindi naomba majibu katka hili

Viongozi wa chadema mufindi naomba majibu katka hili

mwitikio

Member
Joined
May 3, 2013
Posts
30
Reaction score
2
Itakumbukwa kuwa mufindi ni moja ya wilaya ambazo zimesahaulika sana ktk ukomboz. mufindi ni ya pili ktk mapato kati ya wilaya zote TZ, lakini maisha ya wana mufindi kwa ujumla bado yapo ktk hali mbaya sana na hii ni kutokana na ufisadi ulioanywa na mkurugenzi aliyehamishiwa kagera zaidi bil 1 zimetafafunwa. mara ya mwisho viongoz wakuu wa chama walifka kwenye mabalaza ya katiba ambap mbowe na lissu walihutubia ktk uwanja wa wambi. Umati mkubwa wa watu ulifurika ukiwa umejawa nyuso za matumain ktk maisha yao, Ikimbukwe kuwa hyo ilikuwa mara ya kwanza tangu uchaguzi upite.
Hoja yangu ya msingi ni kuwa nilitegemea sa hizi wangewashawishi viogoz wakuu wafanye angalau mkutano mmoja pale mafinga lakin cha kusikitisha Dr kafanya mkutano makambako akaruka mafinga na kwenda ifunda na hatimaye kumalzia irnga mjin tena mheshimiwa mbowe kafanya mikutano zaid ya minne jimbo la kalenga.
Sitaki kuwalaumu viongozi wakuu wa chama kwa kuwa wao hawapangi wapi pa kufanya mkutano bali wanategemea ratba inayotolewa na kanda kwa kushirikiana na viongz wa eneo huska, viongoz mlikuwa wap mpk tukaachwa solemba bila kuwa maneno ya matumaini.
ifahamikekuwa mufindi ina matatzo mengi hasa wazawa wakiwa
wanateswa kwenye viwanda vya uniliver(chai) na mgororo kwnye karatasi ambapo wahndi wamekuwa wakiwadhalilisha wanamufindi kwa kiasi kikubwa sana ambapo ccm na polsi wanashiriki katika mateso na udhalilishaji huu wa watanzania ktk nchi yao, hvo nilitegemea viongozi mufindi agenda hizi wangezipa kipaumbele na kuwaita wakuu wa chama kutoa msimamo km chama cha upinzani kinachotegemea kutwaa dola 2015 hasa katka swala zima la kuwatetea wanyonge.
 
Lia sasa! Sasa sie tukusaidiaje? Kwani Mufindi Kaskazini? Kuna wachaga?

Pole sana Mufindi!
 
Jitahidi kuwaahamasisha wachaga waje Mufindi wakiwa wengi viongozi wa CDM watakuja!

Endelea kupiga mbege yako ndugu yangu kwani utasubiri sana CCM yatosha!
 
ajenda za ukanda na udini CHADEMA hazina nafasi tena, chadema ni msingi inazidi kusonga mbele ktk kata zote mufindi. mtasubili sana
 
...kweli kamanda mufindi inahitaji ukombozi,kunawafanyakazi wa saohil na mgololo wananyanyaswa sana,pia wakulima wa chai na wachana mbao. Yule mungai sijui kawafanyanini iringa.ngoja kamanda msigwa aongoze maangamizi...
 
Tiba huwa inaenda kwa wagonjwa Mufindi iko powa hakuna wagonjwa hebu angalia wagonjwa mliotoroka Mirembe mpo wachache wanaogopa kuaibika Hawara yake Mukya na Hawara wa Mushumbusi.
 
Back
Top Bottom