Nadhani mtwara inaongoza Tanzania kwa uvivu! Ni sehemu pekee ambako saa moja asubuhi unakuta wanaume wanacheza bao au wapo kwenye vijiwe vya kahawa.
Ni sehemu pekee maisha ya wenyeji wanashindia mlo mmoja na wanaona ni sawa. Ni sehemu pekee ambako hata ukitoa kibarua mwenyeji ukisha mlipa elfu...
Ndugu wewe ndio umetoa maoni ya kimhemko. sheria haitafasiriwi hivyo. shambulio la aibu si tendo moja tu la dungadunga . Bali ni mkusanyiko wa makosa yakiwemo ambayo hayakidhi vigezo vya kuwa ubakaji! Sheria ipo wazi kuwa mwanamke hawezi kubaka kwa sababu ubakaji ni kitendo cha ume kuingia...
Tunatofautiana akili kwa kweli hivi kitu cha kuingia ukakojoa ukaendelea na mishe zako zinatoa mtu roho! Hivi kuna watu wapo serious na mpz kiasi hiki?
Jitu hujazaliwa nalo mumekutana ukubwani umelioa au kukuoa hujalikuta bikira unalikuta lilishatumika hadi basi kulifanyia wivu hadi kukutoa...
Hivi siku hizi unaruhusiwa kusafiri na perfume au nilipanda ndege za kizamani? Itakuwa ni uzembe wa namna gani huu kuruhusu hiki kitu! Hujui kuwa perfume inaweza kuwa ni zuga kikawa ni kimiminika au gesi ya kusababisha mlipuko kwenye ndege? Perfume yaweza kuwa ni gesi au hewa ya kulevya mtu...
Katika watu nawaona hawana akili ni mtu anayeacha maeneo mahususi yaliyotengwa kwa ajili ya michezo ( kwenye viwanja vya michezo) kwenda kukimbia kwenye barabarani zilizotengenezwa kwa ajili ya vyombo vya moto.
Kwenye sheria za barabarani hakuna kifungu kinachoruhusu watu kwenda kufanyia...
Nami niliwahi kuwa na akili za kijinga kama hizi
babu alioa wake wawili na alikuwa na eneo zaidi ya hekari 50. Kabla hajafa kawakabidhi watoto wa bibi yangu mdogo. Bibi kizaa baba hakuambulia chochote.
Nikajidai kiherehere kumuuliza babu alinipa jibu moja ambalo lilibifanya nami nitafute...
Kwa uelewa wako huko somalia kenya na west Africa familia zina maisha mazuri kuliko Tanzania kisa vijana wao wako nje wanatuma remmitence? Akili za kuambiwa changanya na zako
Huku ndiko tulikofikia mtu kurekodiwa anafanyishwa mazoezi ni kumdhalilisha ili akirekodiwa akikata mauno nusu uchi au vigodoro ni au akifanya ngono ni sifa
Usishangilie. Tunza hii comment yangu. Kwa kifupi ulichokifanya ni cha hovyo sana. Ulikosea Ulikopeleka hizo barua ni mbali sana. Hata baada ya kuzipokea barua yako wanajua hakuna mfanyakazi hapa. Wakubwa huwa wanachukia wafanyakazi wa hivyo. Kupewa huo usupervisor nakwambia ni mtego tu. Ni...
Usije ukamsusia mwanamke ambaye bado unampenda utakufa kwa presha. Kama ulifikiri atateseka na kurudi kukupigia magoti ulibugi mkuu. .Huyo rafiki yako atakuwa amemuonea huruma shemeji yake maana anajua fika wewe ndiye mmbaya shemeji hakuwa na kosa. Acha kumzibia x wako bahati inatakiwa uanze...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.