Recent content by mwita85

  1. M

    Mapokezi ya Mbunge wa Iringa

    Tutaanzia kumpokea maeneo ya ilula kuanzia saa5 masukanzi makamanda wa iringa pamoja sana
  2. M

    Kumekucha UKAWA: Lipumba kutoa msimamo wa CUF leo saa tano Asubuhi

    Umeandika nini sasa apo afu mzazi wako anajisifu anamdume duuu
  3. M

    Mtia nia ubunge Sengerema, Dr. Watugala (CHADEMA) afariki dunia

    Very sorry kwa peoples wote tanzania
  4. M

    Freeman Mbowe alikuwa akitetewa na wakili ambaye ni mwanachama wa ACT-Wazalendo

    msando alijitoa mda mwingi mara tu mgogoro wa zito cdm na mbowe kumtoa kweny kesi yake so alibaki wakil mmoja
  5. M

    Dr. Slaa aanza ziara nzito Nyanda za juu Kusini

    Upite n iringa hasa isimani kwa sosopi
  6. M

    Zitto achukua fomu Kigoma mjini

    Zito hakujitoa alifukuzwa usipotoshe watu
  7. M

    Gari la Leonce Marto (Mwenyekiti wa BAVICHA Mkoa wa Iringa) lachomwa moto

    Makamu mwenyeketi BAVICHA taifa kamanda Ole Sosopi usiku huu gari lake limechomwa moto kwa petroli na nje ya gari kukutwa dumu la lita tano. Amesharipoti polisi kwa RPC na RCO ameshafika nyumbani kwa Sosopi kwa hatua zaidi. Hii ni zaidi ya siasa sasa.
  8. M

    Mnyika jimbo la Ubungo umeshalikosa

    Hamia jimbo la ilala ubungo haikuhusu
  9. M

    UKAWA Kufanya Press Conference Kesho (Aprili 30, 2015) Makao Makuu ya CUF

    Ayattolah alikua anasubir taarifa za kikao ampelekee mgonjwa wake apewe millt700 zake
  10. M

    Rais Mstaafu wa Marekani, Bill Clinton awasili Tanzania...

    Yupo iringa toka sa3 alienda dabaga sasaivi yupo nduli anapanda ndege kurudi zake
  11. M

    Mkutano wa Godbless Lema - Kahama, Shinyanga 28 April, 2015

    Ndo habari tunazozitaka humu si ujamaa karne hii?
  12. M

    Ungana nami katika Imani ya Ujamaa wa Kidemokrasia ya ACT- Wazalendo

    Mkutano wa mh lema kahama vipi makamanda apo kahama mtupe mipicha
  13. M

    Mkutano wa Godbless Lema - Kahama, Shinyanga 28 April, 2015

    Wewe unabebwa na wandereko wenzako wa rufiji?
Back
Top Bottom