Nimesikitishwa sana na madai yake mkuu.
Picha nimeiondoa ila niliiweka ili kudhihirisha kwa umma wa jf kwamba kijana anatuchezea mchezo mchafu
Vijana lazy kazy kama hawa ndio wanazibia rizki wenzao.
Comment ya malalamiko imesomwa na mwajiri wake kwa masikitiko makubwa sana, what a shame
Mtu...
Mkuu huyu kijana hana ustaarabu kabisa
Mpishi aliekuwepo alikuwa analipwa 250k tu. Yeye anakula 390k
Kula hapa hapa
Kulala wanalala washkaji wanne
Yeye anataka awe treated like yuko serena hotel jaman wakat ndio kwanza kaanza maisha
Nili cancel job requests 6 nikamchagua yeye bila kujali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.