Natafuta kazi ya upishi kwenye Hotel au Mgahawa

Chaliifrancisco

JF-Expert Member
Jan 17, 2015
17,336
2,000
Dogo anasema Mwita anataka 400K yake ili yaishe... hahaha

Mwita naona anadai kama Mwendazake
Kama makubaliano yalikuaa hayo haina budi afanye hivyo. Labda aongee na Mwita afanye kumpa hata kwa awamu.

Ila jamaa mpishi nae anazingua. Kwa mshahara huo kweli na kula anakula hapo hapo na sehemu ya kulala amepewa hata kama ni kubanana ghetto asee akijikaza mwezi mmoja tu si anapanga hata room ya elfu 50.

Kama ni kweli analaumu atakuwa hana shukrani asee hiyo hela kwa hiyo kazi na allowances anazopata ni hela nzuri tu.
 

Asprin

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
64,121
2,000
Wamalizane tu kiume. Mtoto wa kiume kulaumu laumu hovyo sio tabia nzuri. Kuna watu wengine wangefanya hiyo kazi kwa kulipwa hata 5000 tu kwa siku.
Ambayo ndio mishahara ya wengi hapa mjini wanaofanya hizo kazi... maana unagonga msosi bure na unalala geto bure...


Tatizo mpika chapati anazengua kwakuwa ana diploma ya upishi...
 

Chaliifrancisco

JF-Expert Member
Jan 17, 2015
17,336
2,000
Ambayo ndio mishahara ya wengi hapa mjini wanaofanya hizo kazi... maana unagonga msosi bure na unalala geto bure...


Tatizo mpika chapati anazengua kwakuwa ana diploma ya upishi...
Jamaa akiwa determined ndani ya muda mfupi sana anaweza kufungua goli lake asee.

Yani hulipi kodi na hununui msosi na daily unapata 13000? Hapo acha vi deal vya hapa na pale sio siku zote atatoka na 13,000 tu kuna day anaweza piga hata vi buku mbili tatu vya hapa na pale.

Imphuvyi ukifanya hii kazi kwa malengo ndani miezi kadhaa utakuwa na uwezo wa kuanza yako.
 

Alistalikopaul

JF-Expert Member
Feb 2, 2019
441
1,000
Daaah jamaa kafukuziwa kazi kwenye group .

Uzuri yeye mwenyewe kasema bado anatafutA kazi aliko ni kama hana kazi.
 

Mwita Mtu Mrefu

JF-Expert Member
Sep 6, 2020
745
1,000
Kwa heshima na taadhima ondoka nyuma yake poti

Ila masharti yake nayo siyo mchezo yaani amehakikisha hela anayoipata haingii kwenye matumizi mengineyo
Nimesikitishwa sana na madai yake mkuu.

Picha nimeiondoa ila niliiweka ili kudhihirisha kwa umma wa jf kwamba kijana anatuchezea mchezo mchafu

Vijana lazy kazy kama hawa ndio wanazibia rizki wenzao.

Comment ya malalamiko imesomwa na mwajiri wake kwa masikitiko makubwa sana, what a shame

Mtu katumiwa nusu nauli from Dar to mwanza, lakini bado shukurani hana
 

goroko77

JF-Expert Member
Jul 9, 2019
1,230
2,000
Mbna inashangaz mtu Kama yey Ana experience nzur ya upishi kashindwa ata kuifungua kamgaha Cha kiaina fln sehemu za was was
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom