Natafuta kazi ya upishi kwenye Hotel au Mgahawa

goroko77

JF-Expert Member
Jul 9, 2019
1,230
2,000
Ilaa Kama upo dar nenda stand ya mawasiliano au simu 2000 Kuna mgahawa wa mtumishi uko pale jamaa atakuchukuwaa upige kazi faster Kama unaitaji njoo had Apo nikuelekeze mm Niko mitaa hyo
 

Shomary47

Member
Feb 12, 2021
57
125
Jamaa akiwa determined ndani ya muda mfupi sana anaweza kufungua goli lake asee.

Yani hulipi kodi na hununui msosi na daily unapata 13000? Hapo acha vi deal vya hapa na pale sio siku zote atatoka na 13,000 tu kuna day anaweza piga hata vi buku mbili tatu vya hapa na pale.

Imphuvyi ukifanya hii kazi kwa malengo ndani miezi kadhaa utakuwa na uwezo wa kuanza yako.
Apa unamaanisha watupige Ganji sisi mabosi sindio
 

gbefa

JF-Expert Member
Jun 1, 2016
3,665
2,000
Mkuu huyu kijana hana ustaarabu kabisa

Mpishi aliekuwepo alikuwa analipwa 250k tu. Yeye anakula 390k

Kula hapa hapa

Kulala wanalala washkaji wanne

Yeye anataka awe treated like yuko serena hotel jaman wakat ndio kwanza kaanza maisha

Nili cancel job requests 6 nikamchagua yeye bila kujali yuko mbali kiasi gani

Sasa hivi ndio ananitupia lawama kubwa sana jaman
pole sana mkuu, aisee kuna watu wanachezea shilingi kwenye shimo la choo kwa 390k kula juu ya boss na kulala pia mbona fresh tu aisee dah ningepata hiyo ingekuwa njema sana haya maisha yalivyo magumu hivi kuna watu wanachezea
 

Mwita Mtu Mrefu

JF-Expert Member
Sep 6, 2020
745
1,000
pole sana mkuu, aisee kuna watu wanachezea shilingi kwenye shimo la choo kwa 390k kula juu ya boss na kulala pia mbona fresh tu aisee dah ningepata hiyo ingekuwa njema sana haya maisha yalivyo magumu hivi kuna watu wanachezea
Nashukuru Mungu nimetafuta tena mtu mwingine na nimempata

Kijana atarudi kwao muda si mrefu akaendelee na maisha

Kaichafua JF hasa
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom