Mleta mada, ipo siku Mola atakutembelea. Hivyo vishilingi unavyolipa hutaweza ha kuvila hiyo siku bomu litaigeukia familia yako. Kumbuka tunaombolezea wale waliouawa kinyama. Ungalikuwa na utu, huku ukijua nawe uko duniani, usingalikuja kumwaga utumbo wako hapa. Subiri walau matanga yaishe.
CDM juu!!! CCM Ziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii! Chama Cha Mauwaji. Tanzania itakombolewa hata mkibeba mabomu kiasi gani. Mungu ni mkubwa kuliko mabomu yenu mnayowatupia wanyonge wasio na hatia.
Mungu ni mkubwa kuliko Pinda. Ipo siku Mungu atamsemea kwa kuangusha bomu juu ya nyumba yake yeye akiwa amelala ndani na mkewe. Siku hiyo atajua damu za watanzania zinamlilia sana. Atajua pia wanyonge wamenyanyasika siku chini ya utawala wake.
Hakuna tone la mtanzania aliyeuawa katika haya matukio litaanguka chini bure. Ile damu ya Mwangosi na wengine wengi inaililia Tanzania. Familia za hawa wanyonge. Machozi yao yanaimwagikia Tanzania. Enyi watawala wetu amkeni kwenye huo usingizi unaowazuia kuona jinsi mnavyotuuwa bila sababu. Haya...
Hivi hawa wazee wanaona kama Tanzania ya leo ni ile ya 1954 au? Mbona asijipumzishe tu na heshima yake kuliko kufanya siasa zisizo na heshima? Anajiona bado kabisa uwaziri unamsaidia katika hali hii kweli? Dunia ya leo ni kufikiria mimba tu? This leaders are sick in their very mind! Can he open...
Zile farasi na mikokoteni kule Canada je? Kuku wa China na vile vitumbua na bembea kule Jamaika? Yaani unafikiri tutaweza kusahau ile mihogo kule Ghana na mananasi yao yalivyo matamu? We embu waza ule ugali namaharage pale Nairobi. Sasa Ne York tutaenda lini tena ama Obama kashatusahau nini...
Unauliza kama ikishindwa mbona imeshashindwa tayari. Watanzania hata hao wanaccm wapo sii kwa sababu eti wanaipenda ccm ni kwa sababu ya matumbo yao makubwa tu. Ukitaka kuhakikisha hili angalia wanavyotoa taarifa kwa CDM hata kabla jambo halijamalizika kusukwa. Huyo aliyemchagua mwigulu ndiye...
Pinda angekuwa shujaa angaliangalia uso wake kwenye kiyoo. Atazame tu kwa makini atuambie ana siku ngapi za kuishi pamoja na kutafuka kodi za walala hoi for nothing. Yeye analiona kaburi lake mbaliiii, kumbe liko karibu tu tena sana. Yote aliyojilundikia atayaacha hapahapa duniani. Huwezi...
Tanzania imekosa kabisa utawala. Amebaki shetani akimiliki wajinga wachache wanajiita watawala. Hata damu za watanzania hawaoni rangi yake kwao ni kama maji tu yamemwagika. Kinachonishangaza ni kuwa wako tayari kukimbizana huku na huko kwenda sijui kubembea kwa garama za walipa kodi maskini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.