Kiwanja kipo kange stendi mpya, kinaukubwa wa m20x30 kipo karbu na stendi kuu ya mabasi tanga, bei ya kiwanja ni mil 5.8 mazungumzo yapo, kiwanja kinaoffer..
Kwa mawasiliano pga no. 0713 575797
Inavyumba vi3, jiko na frame mbili za biashara..ipo tanga mjini mtaa wa kwanjeka nyumba ya tanga xul..ina hali nzur na inafaa kwa kuish mwenyew au kupangsha..maji na umeme vp full time..
Bei ni m18...
kwa mawasiliano pga 0713 575797
Muuzaji ni mmiliki halal
Ipo Tanga mjini mtaa wa kwanjeka nyuma ya shule ya Tanga xul, inavyumba vi3, choo, jiko na milango miwili ya biashara..
Muuzaj ni mmiliki
Bei ni mil 17.5
Kwa mawasiliano pga 0713 575797..
Umenifurahisha mkuu, haina mgogoro wowote wakifamilia wala wakiserikali, tunauza kwa shida nyngne kabsa na wauzaj c wanandugu bali ni wazaz wenyew waliojenga kwa jasho lao mim ni mtoto wao nawakilisha.....
habar zenu wanajf...tunauza nyumba yetu ipo tanga mjini mtaa wa kwanjeka..inavyumba vitatu chumba kimoja kina sebule.
Ina Jiko la nje na inamilango miwili ya biashara..maji na umeme vipo full time.
Pesa ya haraka inahitajika bei ni 17.5m maongez yapo kidogo...
Kwa mwenye uwezo, uhitaji na nia...
Habar zenu wanajf, Mimi nipo Tanga naomba kufahamishwa ni wapi naweza kupata pikpik aina ya Honda MD90 kwa dar es salaam na zinarange kwenye bei gani...natanguliza shukran.
Cna ujuz sana na mamb ya uchumi or accounts but kwa biashara ninayoifanya nimejiwekea saving amount ya 5% kwa mauzo ya kila cku....
Kwa kfup iko hivi nafanya biashara ya jumla(nauza yebo yebo) xo napata net profit ya 300 tsh kwa kila pea ninayouza na nauza hadi pea 300 kwa cku, kama kila pea...
Bila shaka ulipokua unaandka uzi huu ulikua maskani umekaa kwa kukosa cha kufanya.....ckulaum sana coz umechangamsha akil kidogo na accusation zako za kijiweni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.