The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,320
- 117,612
Hahaha ataona ramani hapati kitu. Hujambo lakini?
sijambo sana tu
kama mdosi vile udenda wanitoka
Hahaha ataona ramani hapati kitu. Hujambo lakini?
wadigo wanaamini chungu hakikai ktk figa moja. ukioa mdigo ujue umeolea na wengine.
Wadigo ni wakarimu sana karibu digoHahaha ataona ramani hapati kitu. Hujambo lakini?
extrmly wrongwadigo wanaamini chungu hakikai ktk figa moja. ukioa mdigo ujue umeolea na wengine.