SIMBA NI WA MWISHO, WAMEBURUZA MKIA
Ni kweli kuwa Simba wameburuza mkia katika mchuoano wa timu kubwa katika ligi kuu Tanzania Bara.
Licha ya Mchuano wa ligi kuu kwa ujumla lakni kulikuwa na mchuano pia kati ya timu kubwa zilizoshika nafasi ya kwanza hadi ya TATU.
Kama timu moja ingeshinda...
Kuna watu waliwahi kuimba wakimlaumu mungu kwanini ameruhusu mabaya yawafike.Sijui wanaitwa Ambasadors.Wale jamaa walisema kama alivyosema Afande sele ila Tofauti ni kuwa wao hawakuvuta bangi Kwahiyo wakajizuia kutukana
Mkuu huyo Deo nakumbuka alishtakiwa kwa kosa la kuchapisha taarifa za uongo kinyume na kifungu namba 16 cha Sheria ya makosa ya mitandaoni.Hivyo kwa jambo la Selemani haiingii
Huenda bwana Selemani Msindi amefanya makosa lakini ni lipi kosa lake kisheria? Nani wakumshtaki? Nani aliefanyiwa kosa?
Tukianza na kosa lake kisheria, kifungu namba 129 cha kanuni ya adhabu sura ya 16 kinaeleza kuwa Nikosa kuumiza hisia za imani ya kidini ya mtu mwingine kwa kuweka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.