Recent content by mwinuka89

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye apata ajali Kilwa, alikuwa akitokea Dar kuelekea Lindi

    mlipo yapo hapa hapa duniani
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ukweli usemwe, Dr. Slaa hakuwahi kuukamia Urais

    kwani membe atagombea nini baada ya kukosa uraisi? tena nimesikia alimuachia jimbo Nape
  3. M

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Raia Mwema na habari za Ki-Facebook!

    kwa kweli hata mm nimeshangaa eti jana usiku uhuru fm wanatangaza slaa amemuandikia barua mwenyekiti wa chadema kuwa anajiuzuru, hahahahaha ni uzushi sana ccm acheni kutapatapa
  4. M

    JamiiForums Tanzania Muungano wa UKAWA waichanganya CCM, wamuahidi Slaa bilioni kumi Slaa awatosa

    bolioni kumi ni hela ndogo sana kuuza nchi, hiyo ni pesa ya mboga kwa Anna tibaijuka...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Vikao vinaendelea ikulu muda huu

    hahahahaha poleni sana ccm hapo mnaweza kupotea zaidi kwani atawamaliza
  6. M

    JamiiForums Tanzania Prof. Mark Mwandosya: Mchakato wa kumpata mgombea urais CCM uligubikwa na utata

    wewe ndio paka la ccm
  7. M

    JamiiForums Tanzania Prof. Mark Mwandosya: Mchakato wa kumpata mgombea urais CCM uligubikwa na utata

    hapo ndio mwanzo wa kupot eana kumbe wanajua wamepoteza kondoo wa muhimu
  8. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa akanusha Habari zilizoenea kuwa amejiuzulu

    kuna mwana ccm mmoja kazimia huku mtaani kwetu baada ya kusikia hakuna mpasuko ukawa....
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nape na Bernand Membe watibuana, kisa kugoma kuachiana jimbo la Mtama

    thubutuuuu lazima agombee ubunge...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Lowassa kuchukua fomu ya Urais Makao Makuu ya CHADEMA

    mtaropoka sana mpaka mapovu yawatoke mdomoni
  11. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Lowassa kuchukua fomu ya Urais Makao Makuu ya CHADEMA

    ccm saivi hamna cha kusema zaidi ya kumkubali slaa tena si mlisema yeye padri sas tumemleta wa kufanana na huyo kufuli
  12. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Lowassa kuchukua fomu ya Urais Makao Makuu ya CHADEMA

    wewe ndio hujui kitu, lowassa kaja huku kubadili unyonyaji wa ccm
  13. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Lowassa kuchukua fomu ya Urais Makao Makuu ya CHADEMA

    vita inaanza rasmi
  14. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Lowassa kuchukua fomu ya Urais Makao Makuu ya CHADEMA

    roho zinawauma sanaaaaaaa na bado
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mwigulu ahojiwa masaa matatu na TAKUKURU

    mimi kama mtu nisiyeipenda ccm nadhani ni wakati muafaka wa kuwapiga chini hawa watu
Back
Top Bottom