Yaliyojiri: Lowassa kuchukua fomu ya Urais Makao Makuu ya CHADEMA

Jua kuwa ni watanzania wachache wanaotumia mitandao ya kielectronic. Muulize Ben Saanane kilichomkuta kwa kujifariji na suport ya hapa JF. Where is my Dr. Slaa?
ndio kusema mtaji wa CCM ni kundi la watz wajinga,misinformed hasa wale walipo ktk isolated area ambako hakuna mtandao wa internet?.

kama hayo ni kweli,basi CCM ni chama kisicho takia mema watanzania.kuna kila sababu ya hili dubwasha nyonya damu CCM kuondolewa october 2015 na UKAWA.
 
Raha tu mwaka huu ila naona kutatikana vurugu kwenye uandikishaji siku 4 hazitosha
 
attachment.php
 
Nimesema ikitokea

Endapo ikatokea Dr Slaa hayuko sawa na hili...Mchumia Tumbo atakuwa Mbowe

Bado siamini kama Mbowe anaweza kufanya hivyo

Kwangu mimi ni bora CHADEMA ikamkumbatia Dr Slaa kuliko Lowasa...Dr amejitoa sadaka kwa hiki chama ndugu yangu....CHADEMA unayoiaona leo ni juhudi zake

View attachment 272400
View attachment 272401

Slaa yuko vizuri,nyie mnapigapiga madomo tu humu!
 
10 bn+ mafisadi vyote vimesajiriwa rasmi CDM, mchaga na pesa kweli usiunge naye undugu nimeamini ..ni zaidi ya maajabu ya Mussa haya
 
Back
Top Bottom